Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC afunga chuo feki cha Uuguzi Huruma ya Mungu Yatosha Sengerema

IMG_2087

Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha  kilichogundulika kuwa  ni feki katika kata ya Nyehunge wilayani Sengerema wakiwa ndani ya darasa lao huku wakiwa wamejawa na majonzi baada ya kutapeliwa.(picha na Daniel Makaka Sengerema).

Na Daniel Makaka, Sengerema

MKUU wa wilaya ya Sengerema, Bi Kalen Yunus amekifunga chuo cha uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha baada ya kukiukwa kwa taratibu za usajili.

Mkuu huyo aliamua kukifunga chuo baada ya kupata taarifa za chuo hicho...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHUO FEKI CHA UUGUZI CHAFUNGWA, WANAFUNZI WAHAHA

Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha kilichogundulika kuwa ni feki katika kata ya Nyehunge wilayani Sengerema wakiwa ndani ya darasa lao huku wakiwa wamejawa na majonzi baada ya kutapeliwa.
Jengo la chuo feki cha Uuguzi (nursing) cha Huruma ya Mungu Yatosha  kilichopo kata ya Nyehunge wilayani Sengerema.…

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA

  Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.

 

11 years ago

GPL

JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya  Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Serikali yakifunga kile chuo 'feki' cha Kilimo

Kulia ni Richard Mchomvu mkuu wa Polisi wilaya ya Mbeya akiwa na jalada la uchunguzi kuhusiana na chuo hicho.
Serikal imekifunga Chuo cha Kilimo na Mifugo cha Nice Dream kilichopo mtaa wa Mapelele Kata ya Ilemi Jijini na kuwataka wanachuo wa chuo hicho kuondoka chuoni hapo baada ya siku tatu.

Agizo hilo lilitolewa na Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya Bi. Quip Mbeyela aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Daktari Norman Sigala na kwamba Serikali itagharamia chakula kwa siku tatu ambapo...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MAFUNZO YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI

Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo yaKozi ya Awali ya Sajini na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likipita mbele ya mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akisalimiana na Uongozi wa Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji pamoja na Maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipowasili...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura. Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

10 years ago

GPL

HUSSEIN MACHOZI AFUNGA NDOA FEKI KENYA

Stori: Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
MIZINGUO! Mbongo Fleva aliyewahi kutamba na wimbo wa Jela, Hussein Machozi amefunguka kuwa tuhuma za kumtelekeza mke wake Shuena Yunus Omar, Mombasa Kenya hazimtesi kwa kuwa alioa kama geresha tu.
Machozi alifunguka hayo Januari 16, mwaka huu, alipobanwa na paparazi wetu azungumzie ukweli wa sakata la kudaiwa kumkimbia mkewe huyo lililotapakaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyeghushi cheti cha uuguzi jela miaka 28

MUUGUZI Lucia Ilomo (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya kughushi vyeti vya Uuguzi na Ukunga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani