Aliyeghushi cheti cha uuguzi jela miaka 28
MUUGUZI Lucia Ilomo (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya kughushi vyeti vya Uuguzi na Ukunga.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Sep
ATUPWA JELA KWA KUTOSAINI CHETI CHA NDOA CHA JINSIA MOJA

Jaji mmoja nchini Marekani, ameagiza afisa mmoja wa serikali katika jimbo la Kentucky, kufungwa jela, baada ya kukataa kutekeleza agizo la mahakama la kutoa cheti rasmi cha ndoa, kwa wapenzi wawili wa jinsia moja.
Kim Davies amesema imani yake kama Mkristo, haimruhusu kusaini cheti kama hicho. Ndoa ya jinsia moja ilihalalishwa nchini Marekani Juni mwaka huu.
Umauzi huo wa Davis, wa kutosaini cheti hicho...
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Atupwa jela kwa kutosaini cheti cha ndoa
Karani wa mahakama afungwa jela kwa kukataa kutekeleza agizo la mahakama la kutoa cheti cha ndoa cha wapenzi jinsia moja Kentucky
5 years ago
Michuzi
MLOGANZILA YAADHIMISHA MIAKA 200 YA TAALUMA YA UUGUZI

Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Julieth Magandi akiwapongeza wauguzi wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani.



11 years ago
Mwananchi16 Dec
Kisiwa cha Robben; jela ya Mandela alikoishi miaka 17
Nchini Afrika Kusini, hakuna eneo la kivutio cha kitalii linalotembelewa na wageni wengi kama Kisiwa cha Robben. Umaarufu wa eneo hili umekuwa ukiongezeka mwaka mpaka mwaka.
10 years ago
GPL
MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA
Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo. MAHAKAMA moja nchini Ivory Coast leo imemhukumu Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani. Laurent Gbagbo akiwa na mkewe Simone Gbagbo baada ya kukamatwa Aprili 11, 2011. Simone amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi nchini humo… ...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela
Msanii Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela
5 years ago
Michuzi
IYANNA FLOYD KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA HADI MIAKA 99 JELA
Na Irene Mwidima,Michuzi TV. Iyanna Floyd ambae ni binti wa Floyd Mayweather huwenda akahukumiwa kifungo cha hadi miaka 99 jela kwa kosa la kumchoma mtu kisu mara mbili binti ambae ni mzazi mwenzake na NBA Youngboy. Iyanna Floyd ambae ana miaka 20 aliwasili nyumbani kwa mpenzi wake, rapper NBA Youngboy ambapo alimkuta na mzazi mwenzake aitwae Lapattra Lashai Jacobs. Iyanna alianza kumwambia Lapattra aondoke hapo nyumbani kwani NBA Youngboy ni mchumba wake. Tukio hilo lilitokea jumamosi...
10 years ago
Vijimambo
MAHAKAMA YAWAHUKUMU MRAMBA NA YONA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA


Hukumu hiyo imetolewa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumwenyi pamoja na Hakimu Saul Kinemela ambapo mtuhumiwa wa tatu wa kesi hiyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.
Washitakiwa hao walikuwa...
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ........BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA
Cheka alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10