Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kisiwa cha Robben; jela ya Mandela alikoishi miaka 17

Nchini Afrika Kusini, hakuna eneo la kivutio cha kitalii linalotembelewa na wageni wengi kama Kisiwa cha Robben. Umaarufu wa eneo hili umekuwa ukiongezeka mwaka mpaka mwaka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jela ilivyokuwa ‘Chuo Kikuu’ cha Mandela

Juni 12, 1964, Nelson Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya hujuma dhidi ya Serikali ya kibaguzi ya Makaburu

 

10 years ago

CloudsFM

Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.

Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.


Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyeghushi cheti cha uuguzi jela miaka 28

MUUGUZI Lucia Ilomo (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya kughushi vyeti vya Uuguzi na Ukunga.

 

10 years ago

GPL

MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA

Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo. MAHAKAMA moja nchini Ivory Coast leo imemhukumu Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani. Laurent Gbagbo akiwa na mkewe Simone Gbagbo baada ya kukamatwa Aprili 11, 2011. Simone amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi nchini humo… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

Msanii Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

 

5 years ago

Michuzi

IYANNA FLOYD KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA HADI MIAKA 99 JELA

Na Irene Mwidima,Michuzi TV. Iyanna Floyd ambae ni binti wa Floyd Mayweather huwenda akahukumiwa kifungo cha hadi miaka 99 jela kwa kosa la kumchoma mtu kisu mara mbili binti ambae ni mzazi mwenzake na NBA Youngboy. Iyanna Floyd ambae ana miaka 20 aliwasili nyumbani kwa mpenzi wake, rapper NBA Youngboy ambapo alimkuta na mzazi mwenzake aitwae Lapattra Lashai Jacobs. Iyanna alianza kumwambia Lapattra aondoke hapo nyumbani kwani NBA Youngboy ni mchumba wake. Tukio hilo lilitokea jumamosi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA YAWAHUKUMU MRAMBA NA YONA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA


 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya shilingi milioni 5 kila mmoja aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona baada ya kuwatia hatiani kwa makosa mawili.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumwenyi pamoja na Hakimu Saul Kinemela ambapo mtuhumiwa wa tatu wa kesi hiyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.


Washitakiwa hao walikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ........BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaenleza kuwa Bondia maarufu hapa nchini,Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha Miaka mitatu (3) jela kwa kukutwa na hatia ya kumpiga na kumjeruhi Meneja wa  Bar yake iliopo mjini Morogoro.
Cheka alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika,...

 

11 years ago

GPL

KIWANGO CHA MESSI, ROBBEN KUJULIKANA LEO

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa Uholanzi, Arjen Robben. Sao Paulo, Brazil
WAKATI  wikiendi ijayo itakuwa siku ya mwisho kwa fainali za Kombe la Dunia, kuna mambo kadhaa yametokea kwenye fainali hizo mwaka huu huku kila shabiki akiwa amejifunza. Arjen Robben (kushoto) akiwa na Kocha Msadizi wa Uholanzi,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani