KIWANGO CHA MESSI, ROBBEN KUJULIKANA LEO
![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRZWs7u3EdsTeESGDD96X7RkrQDxKorMq8-nlKYUQhTzQhwYzkhGbF7*YLZA7aEs1JBM4pbMA3y8HwW3MB6gWNcF/ArjenRobbenNetherlandsWallpapersHD1.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa Uholanzi, Arjen Robben. Sao Paulo, Brazil WAKATI wikiendi ijayo itakuwa siku ya mwisho kwa fainali za Kombe la Dunia, kuna mambo kadhaa yametokea kwenye fainali hizo mwaka huu huku kila shabiki akiwa amejifunza. Arjen Robben (kushoto) akiwa na Kocha Msadizi wa Uholanzi,…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen09 Jul
BRAZIL 2014:‘Dutch Messi’ Robben ready for Argentina
10 years ago
CloudsFM14 Jan
RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa yamejadiliwa...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/NGASSA-MRISHO.jpg)
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Kisiwa cha Robben; jela ya Mandela alikoishi miaka 17
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Hatima ya Rage kujulikana leo
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
11 years ago
Habarileo22 Jul
Mrithi wa Laizer KKKT kujulikana leo
HATIMA ya kinyang’anyiro cha kumpata mrithi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Dk Thomas Laizer aliyefariki mapema mwaka huu, inajulikana leo.
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo
Na Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...