HUSSEIN MACHOZI AFUNGA NDOA FEKI KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7a8T1Il75FTeX2-cUEjDgdTsq0W*fxvU2qJvFt-pIg6-W0vLvqFHyIsou6wfccODe5ykcFrDXo3V6wGppssTQJe/j.jpg)
Stori: Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko MIZINGUO! Mbongo Fleva aliyewahi kutamba na wimbo wa Jela, Hussein Machozi amefunguka kuwa tuhuma za kumtelekeza mke wake Shuena Yunus Omar, Mombasa Kenya hazimtesi kwa kuwa alioa kama geresha tu. Machozi alifunguka hayo Januari 16, mwaka huu, alipobanwa na paparazi wetu azungumzie ukweli wa sakata la kudaiwa kumkimbia mkewe huyo lililotapakaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Hussein Machozi afunguka sakata la kufumaniwa Kenya
MWANAMUZIKI aliyoibuliwa na wimbo wa ‘kwa ajili yako’ Hussein Machozi amefunguka na kuelezea tukio la kufumaniwa na mke wa mwanasiasa nchini Kenya na kudai kuwa jambo hilo halina ukweli wowote....
10 years ago
Bongo529 Aug
Hussein Machozi aelezea ukweli wa habari ya kufumaniwa na mke wa mwanasiasa Kenya
11 years ago
Bongo506 Aug
New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/f-LpCdJjsL8/default.jpg)
9 years ago
Bongo515 Sep
Video: Hussein Machozi — Msinitimue
9 years ago
Bongo509 Dec
Hussein Machozi atangaza kuacha muziki!
![hussein_machozi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hussein_machozi-300x194.jpg)
Hussein Machozi ametangaza uamuzi wake wa kuacha kufanya muziki kutokana na kuona kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kupitia muziki kwa muda mrefu .
Machozi ambaye jina lake halisi ni Hussein Rashid ni msanii wa Bongo fleva wa muda mrefu ambaye amewahi kutengeneza hits kadhaa ikiwemo ‘Kwaajili Yako, ‘Utaipenda’, Full Shangwe, na zingine.
Hussein ametangaza uamuzi huo kupitia Planet Bongo ya East Africa radio.
“Kubwa ambalo nataka niwasimulie Watanzania ambalo ninalo leo hii kwamba very...