Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC amtimua kazi mtendaji wa kata ungu

Mtendaji wa Kata ya Kinungu, Varelian Mapalala amefukuzwa kazi na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu kwa tuhuma za kushindwa kuwajibika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Magufuli amtimua kazi mkurugenzi wa Takukuru, Edward Hoseah

hose

20151216053633

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa mtendaji kata aahirisha kesi ya Nassari Arumeru

Kesi ya kuchoma moto bendera ya CCM inayomkabili Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari jana iliahirishwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Maji ya Chai, Ndikilo Mbise kutokana na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai, David Mwita kuwa safarini.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MOROGORO MJINI ATOA WIKI MBILI KWA MTENDAJI WA KATA KURUDISHA FEDHA ZA WANANCHI

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akiongea Kwa Msisistizo Akimtaka Mtendaji wa Kata ya Luhungo Iliyopo Mzee Makame Kai Kurudisha Fedha za Wananchi wa Kata Hiyo Shilingi Milioni 1.4 Ndani ya Muda wa Wiki Mbili lasivyo atangulie Polisi.Mh Mbunge Ametoa Kauli Hiyo katiaka ziara yake aliyoifanya kata ya Luhungo Kwajili ya Kusikiliza Kero za wananchi na Ndipo wakazi wa Kata Hiyo walipotoa Malalamiko kwa Mbunge wao Kuhusu Utendaji Mbovu wa Mtendaji wa Kata Hiyo Aliyefahamika kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.Hali ya kushtusha imetokea katika uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Migombani  baada ya Afisa Mtendaji  kufika  na kutangaza kimyakimya Kuwa UChaguzi huo umesitishwaMara baada ya wakazi wa mtaa wa migombani kusikia ndipo walipoanza sasa kutafuta mchawi na kumtia nguvuni afisa mtendaji huyo wa mtaa kwa kutaka kujua sababu za msingi zinazopelekea yeye kuja kutangaza kusitisha uchaguzi huo.Afisa mtendaji huyo baada ya kuulizwa sababu za msingi alijitetea kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya.Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya msingi. waliomzunguka ni wakazi wa mtaa wa segerea wakimuhoji afisa...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI‏

Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya. Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya...

 

9 years ago

Michuzi

Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)

Wadau, Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) itakuwa wazi kuanzia Mwezi Septemba, 2016. Mchakato wa kumpata mrithi wa Bw. George Nyatega (Mkurugenzi Mtendaji wa sasa) umeanza. Kwa mwenye sifa afungue link hii http://www.heslb.go.tz/images/adverts/JOB_POSITION_ED_2015.pdf . Kila la heri.

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI TRL ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MALIPO KINYUME CHA MKATABA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa malipo ya Sh. Bilioni 230 ya mabehewa ya Mizigo yenye kasoro pamoja na kufanya malipo ya mabehewa yote kabla ya kukamilika.
Akitangaza maamuzi hayo ya kusimimishwa kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar es Salaam baada ya ripoti ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi (ambaye sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki), Dk. Harrison...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani