Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC CHONGOLO AWAONYA WENYE TABIA YA KUTUPA TAKATAKA KATIKA MIFEREJI ILIYOKO BARABARANI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Godfrey Chongolo ametoa onyo kwa wananchi walioko ndani ya Wilaya hiyo ambao wanatabia ya kutupa takataka katika mitaro ambayo imejengwa katika barabara mbalimbali kwa kutumia fedha nyingi za Serikali.
Akizungumza na Michuzi Blog pamoja na Michuzi TV, katika mahojiano maalum, Chongolo amesema kuwa barabara ambazo zinajengwa imekuwa ikiwekewa mifereji ya kuondosha maji , sasa wananchi wamebadilisha na kuanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WENYE MADUKA SINZA WACHANGIA MIFEREJI KUZIBA

Barabara ya Shekilango maeneo ya Sinza ilivyo na sehemu zilizowekewa zege kwenye mitaro ili kupitisha magari na wateja. Mfereji uliokwamisha maji baada ya kujaa taka. WAFANYABIASHA katika maduka barabara ya Shekilango,  jijini Dar es Salaam,  wanasemekana kukwamisha mifereji ya uchafu kwa kujenga njia za zege ili kuwezesha kupitisha kwa urahisi magari yao  na wateja.  Mifereji hiyo hushindwa kufanya kazi kutokana na...

 

10 years ago

Vijimambo

KUPIGA PICHA WATENDA MAKOSA BARABARANI NI KUREKEBISHA TABIA

Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani.Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani


 Na Augustus Fungo, Balozi wa Usalama Barabarani HIVI karibuni imejitokeza njia mpya ya kusaidia kupambana na wimbi la ajali za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kupiga Picha Watenda Makosa Barabarani na Kuwaanika ni Kurekebisha Tabia

RSA-LOGO

Na Augustus Fungo

Hivi karibuni imejitokeza njia mpya ya kusaidia kupambana na wimbi la ajali za barabarani, ambapo pamoja na faini madereva wanaokiuka sheria za barabarani wamekuwa wakipigwa picha na baadaye picha hizo kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii au magazetini na hata wakati mwingine kwenye televisheni. Mathalani katika mtandao wa facebook, kundi la Mabalozi wa Usalama Barabarani maarufu RSA wakishirikiana na polisi hutumia mbinu hii kuwapiga picha wakiukaji wa sheria za barabarani...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ahudhuria mkutano wa kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini jijini Kigali, Rwanda

Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha  sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano  na viongozi wenzake wa Jumiya hiyo katika mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects)  katika Hoteli ya Serena mjini Kigali.

Mkutano wa leo ​pia umehudhuriwa na wakuu wa nchi za Kenya, Uganda na wenyeji Rwanda. Mbali na nchi hizo na...

 

9 years ago

Michuzi

WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

 Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi  ya  Nyarugusu  iliyoko  Kasulu  mkoani  Kigoma.   Idadi  ya  wakimbizi  kutoka  Burundi  imekuwa  ikiongezeka  siku  hadi  siku  na  Wizara  ya  Mambo  ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo. Wakimbizi kutoka Burundi wakipata maelezo ya jinsi ya kuishi...

 

9 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA KUGAWA CHAKULA LAENDELEA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.Byesige Josephat (anayemimina mafuta) na Hezron Mtangirwa(kushoto), wakimbizi kutoka Burundi waliohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu wakipima mafuta ili waweze kuyagawa...

 

10 years ago

Michuzi

JK ahudhuria mkutano wa kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini jijini Kigali, Rwanda, arejea Dar es salaam

 Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha  sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano  na viongozi wenzake wa Jumiya hiyo katika mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects)  katika Hoteli ya Serena mjini Kigali. Mkutano wa leo ​pia umehudhuriwa na wakuu wa nchi za Kenya, Uganda na wenyeji Rwanda. Mbali na nchi hizo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani