Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WENYE MADUKA SINZA WACHANGIA MIFEREJI KUZIBA

Barabara ya Shekilango maeneo ya Sinza ilivyo na sehemu zilizowekewa zege kwenye mitaro ili kupitisha magari na wateja. Mfereji uliokwamisha maji baada ya kujaa taka. WAFANYABIASHA katika maduka barabara ya Shekilango,  jijini Dar es Salaam,  wanasemekana kukwamisha mifereji ya uchafu kwa kujenga njia za zege ili kuwezesha kupitisha kwa urahisi magari yao  na wateja.  Mifereji hiyo hushindwa kufanya kazi kutokana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWAONYA WENYE TABIA YA KUTUPA TAKATAKA KATIKA MIFEREJI ILIYOKO BARABARANI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Godfrey Chongolo ametoa onyo kwa wananchi walioko ndani ya Wilaya hiyo ambao wanatabia ya kutupa takataka katika mitaro ambayo imejengwa katika barabara mbalimbali kwa kutumia fedha nyingi za Serikali.
Akizungumza na Michuzi Blog pamoja na Michuzi TV, katika mahojiano maalum, Chongolo amesema kuwa barabara ambazo zinajengwa imekuwa ikiwekewa mifereji ya kuondosha maji , sasa wananchi wamebadilisha na kuanza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenye maduka watakiwa kuacha mgomo

NAIBU wa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba amewaagiza wafanyabiashara wafungue maduka wakati muafaka baina ya wizara na Jumuiya ya Wafanyabiara (JWT) ukiendelea na mazungumzo. Akitoa taarifa kwa waandishi...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA WENYE MADUKA KUPINGA KUPANDISHIWA KODI MJINI MOSHI

Maduka yakiwa yamefungwa mjini Moshi. WAMILIKI wa maduka mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamefunga maduka yao leo ikiwa ni mgomo wa kupinga kupandishiwa kodi kwa asilimia 100. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABISHARA WANAOMILIKI MADUKA STENDI KUBWA YA MOSHI WAAMUA KUVUNJA KUFULI BAADA YA MANISPAA YA KUYAFUNGA MADUKA HAYO

 
 Na Woinde Shizza,KILIMANJARO

WAFANYABIASHARA 10  wanaomiliki maduka katika eneo la stendi kubwa Moshi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuvunja kufuli mara baada ya kufungiwa maduka yao   na mgambo wa Manispaa kwa madai kwamba sio wapangaji halali

Wakizungumzia tukio hilo kwa niaba ya wafanyabiashara hao Iren Charles ameleza kwamba wananyanyasika na Mgambo wa Manispaa ya Moshi kwa  kuwavamia na kufunga maduka yao hivyo kukazimika kuvunja kufuli hizo.

Ameeleza kuwa  walifungua kesi Mahakamani...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Olunga kuziba nafasi ya Sherman

MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC  ya Afrika Kusini.

Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.

Kiongozi huyo ambaye...

 

11 years ago

GPL

KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

Kuziba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke ni tatizo kubwa na ndiyo linaloongoza kusababisha ugumba kwa mwanamke ingawa hata matatizo ya vichecheo au homoni pia huchangia.Wanawake wengi wanaohangaika kutafuta watoto hugundulika na tatizo la mirija kuziba.
Matatizo ya mirija ya uzazi kwa wanawake yapo wengi, mfano mirija inaweza kuvimba na kupoteza uhalisia hivyo kushindwa kutungisha mimba. Mirija inaweza kujaa usaha au maji....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni ya Dandho yalalamikiwa kuziba barabara

WAKAZI wa Mtaa wa Usalama, Kata ya Sandali, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, wanailalamikia Kampuni ya Dandho inayosafirisha mizigo na mafuta ndani na nje ya nchi kwa kugeuza eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani