Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

Kuziba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke ni tatizo kubwa na ndiyo linaloongoza kusababisha ugumba kwa mwanamke ingawa hata matatizo ya vichecheo au homoni pia huchangia.Wanawake wengi wanaohangaika kutafuta watoto hugundulika na tatizo la mirija kuziba.
Matatizo ya mirija ya uzazi kwa wanawake yapo wengi, mfano mirija inaweza kuvimba na kupoteza uhalisia hivyo kushindwa kutungisha mimba. Mirija inaweza kujaa usaha au maji....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI-2

Leo naendelea kuelezea namna ya kukabiliana na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambalo limekuwa likiwasumbua baadhi ya watu na kusababisha washindwe kupata watoto. CHANZO CHA TATIZO
Tumeshaona aina kuu tatu za uzibaji wa mirija ya uzazi ambazo ni mwishoni, katikati na mwanzoni. Chanzo kikuu cha uzibaji huu ni maambukizi sugu ya kizazi ambayo kitaalam huitwa ‘pelvic inflamatory Diseases’ au kwa kifupi huitwa...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

Hili ni tatizo linalosababisha ugumba kwa wanawake kwa kiasi kikubwa. Wanawake wanaoshindwa kupata ujauzito hukabiliwa na matatizo matatu; Kwanza kabisa ni kuziba kwa mirija ya mayai kama tutakavyoona leo na pili ni matatizo katika mfumo wa homoni ambapo kuna sababu zake tutakuja kuziona katika matoleo yajayo. Hata hivyo, dalili kuu ni kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, kutopata hedhi na kupata damu kwa muda mrefu au muda mfupi...

 

10 years ago

GPL

ANGELINA JOLIE AFANYIWA UPASUAJI, ATOLEWA OVARI, MIRIJA YA UZAZI

Angelina Jolie. MWIGIZAJI wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie amelazimika kutoa ovari zake pamoja na mirija ya uzazi baada ya uchunguzi kuonesha kuwa alikuwa katika hatari ya kuathirika na saratani ya nyumba ya uzazi. Angelina Jolie, mumewe Brad Pitt wakiwa na watoto wao. Staa huyo maarufu wa Hollywood amelidokezea jarida la New York Times, kuwa alilazimika kutoa viungo hivyo wiki iliyopita katika upasuaji wa dharura....

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA YA ZINAA YANAYOSABABISHA KUZIBA KWA MRIJA WA MKOJO-2

Dalili, mtu mwenye tatizo hili anaweza kuwa na dalili zifuatazo, kwa mwanaume hutokwa na manii zilizochanganyika na damu, kukojoa mkojo mweusi au uliochanganyika na damu, kutoa mkojo kidogo sana tena kwa shida, kukojoa mara kwa mara na kushindwa kumaliza mkojo wote. Wengine huona dalili za mkojo kujitokea wenyewe, hivyo mhusika kujikojolea, kusikia maumivu wakati wa kukojoa au chini ya tumbo au kwenye kinena, mkojo kutawanyika...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA KUZIBA MATUNDU YA MOYO BILA KUFUNGUA KIFUA

Mwezi Mei tarehe 9, mwaka 2015, Tanzania imeandika historia nyingine baada ya kufanya Tiba ya moyo bila ya kufanya upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo kwa kutumia “kifaa maalum” bila kufungua kifua kama ilivyozoeleka. Tiba hii inafanyika kwa mara ya kwanza nchini kupitia Idara ya Tiba na Upasuaji Moyo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ikishirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao watakuwepo...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa uzazi kwa mwanaume

MFUMO wa uzazi kwa mwanaume ni muunganiko wa viungo ambavyo viko sehemu ya chini kwenye kitovu ambavyo ni Internal na External, namaanisha viungo vinavyoonekana na viungo vya ndani. Viungo vinavyoonekana...

 

10 years ago

BBCSwahili

'Dawa' ya mpango wa uzazi kwa wanaume

Wanasayansi wanadai kuwa dawa mpya liyozinduliwa ya mpango wa uzazi kwa wanaume imefanikiwa kwa asilimia 99.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waafrika wanaongoza ulimwenguni kwa uzazi

Wanaume waafrika wanaongoza duniani kwa idadi ya wanaume wanaozalisha wanawake zaidi ya mmoja kulingana na utafiti Uganda inashikilia nafasi ya 4

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani