DC Kinondoni achangia milioni moja kusaidia kuunda umoja wa Msasani Jogging Club
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza na wana jogging wa Kata ya Msasani Dar es Salaam leo asubuhi kwenye hafla ya kutimiza miaka mitatu tangu ianzishwe Msasani Jogging Club.
Viongozi mbalimbali meza kuu. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kunduchi Kwanza Jogging, Asia Mohamed, Katibu Msaidizi wa Msasani Jogging, Alhaji Seif Muhele, DC Makonda, Diwani wa Kata ya Msasani, Christina Kirigiti, Mwenyekiti wa Msasani Jogging Club, Mohamed Hassan na Makamu Mwenyekiti,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA ACHANGIA MILIONI MOJA KUSAIDIA KUUNDA UMOJA WA MSASANI JOGGING CLUB
11 years ago
Michuzi24 Jun
10 years ago
MichuziMWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera.
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera.
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI CHARLES MWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
11 years ago
GPLUSIKU WA AKUDO IMPACT NDANI YA MSASANI CLUB KUAMKIA LEO
10 years ago
GPLMATUKIO YALIYOJIRI SIKU YA WAPENDANAO MSASANI BEACH CLUB NA ESCAPE ONE
10 years ago
Bongo515 Oct
Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg achangia shilingi bilioni 42 kusaidia mapambano dhidi ya Ebola
10 years ago
Bongo530 Jan
Club Bilz: ‘Tulifanya marekebisho ili kuwa club namba moja Afrika’, ifahamu ratiba ya wiki
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10