dc makete awakutanisha polisi na madereva bodaboda
21
Na Edwin Moshi, Makete
Kutokana na ukosefu wa elimu ya sheria barabarani miongoni mwa madereva bodaboda wilayani Makete mkoani Njombe kunakopelekea madereva hao kukamatwa na askari wa usalama barabarani mara kwa mara, mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro amefanya kikao na waendesha bodaboda hao
Katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete, waendesha bodaboda hao walipata fursa ya kutoa kero zao na kuuliza maswali ambayo yalikuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi07 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Madereva 15 wa bodaboda mbaroni
11 years ago
Habarileo04 Apr
Madereva 18 wa bodaboda kortini
MADEREVA 18 wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kupakia abiria bila leseni ya usafirishaji.
10 years ago
Mwananchi21 Sep
RC awavaa madereva bodaboda
9 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Sep
Samia awaonya madereva bodaboda.
Na Richard Makore 3rd September 2015 Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu, ameonya vijana waendesha bodaboda kuacha tabia ya kuwarubuni […]
The post Samia awaonya madereva bodaboda. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Madereva bodaboda wafa ajalini
MWENDESHA pikipiki (bodaboda), Moshi Ramadhani (27) amekufa papo hapo huku abiria aliyekuwa amembeba ambaye ni Ofisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, amesagika mguu na kuvunjika mkono, baada ya kugongwa na basi.
11 years ago
Habarileo09 Jul
Madereva 180 bodaboda rumande
KUNA vijana waendesha bodaboda 180 waliokamatwa jijini Dar es Salaam na sasa wapo mahabusu, imedaiwa. Wengine 400 wametozwa faini na wengine wamehukumiwa kwa kosa la kuingiza bodaboda katikati ya Jiji.
10 years ago
Habarileo19 Apr
Madereva mabasi kama wa bodaboda
WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.
9 years ago
Mwananchi12 Nov
‘Nimenusurika kuuawa na madereva bodaboda’