Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC MBONEKO AZINDUA RASMI MRADI WA MAJI UZOGORE SHINYANGA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko amezindua Rasmi Mradi wa Maji ya Bomba kijiji cha Uzogore kata ya Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga uliojengwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilaya ya Shinyanga, Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA) na wananchi ukigharimu jumla ya shilingi milioni 88.8.


Akizungumza wakati wa kuzindua Mradi huo leo Alhamis Juni 18,2020, Mboneko amewataka wananchi wa Uzogore kutunza miundo mbinu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAJI SHINYANGA



Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, akifungua maji kwenye mradi wa maji Lubaga ambao umeshakamilika kwa kutekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) leo Alhamis Machi 19,2020 wakati akifanya ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Shinyanga .Kushoto ni Meneja Ufundi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola. Picha zote na Marco Maduhu - Malunde 1 blog Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Shinyanga...

 

5 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA AZINDUA RASMI MRADI WA MIJADALA JUMUISHI KATIKA MASUALA YA UCHUMI NA USIMAMIZI WA RASILIMALI FEDHA



Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza wakati wa Kuzindua rasmi Mradi wa Mijadala Jumuishi katika Masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Rasilimali Fedha unaotekelezwa na Shirika la Save The Children leo Ijumaa Juni 12,2020 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Albert Msovela. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiwasisitiza wadau na wananchi kulinda na kutunza watoto...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA, KAHAMA,SHINYANGA NA KISHAPU


ZIARA ya naibu waziri ilianzia kwenye chanzo ca maji kitongoji cha Ihelele, kijiji cha Nyanghomango kwa kugagua chanzo, sehemu ya kutibu maji na kusukuma maji kisha kuongea na wananchi wa kijiji cha NysnghomangoAidha alikagua mradi unaoendelea kujengwa wa kupeleka maji miji ya mwadui, Maganzo na Kishapu.


Mradi huu mkubwa wa maji unagharimu shilingi bilioni 254 na una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 120 kwa siku lakini mpaka sasa unazalisha maji lita milioni 80 tu kwa siku na unahudumia...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Agnes Hokororo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.

Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani