Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Njombe aagiza sehemu za starehe kufungwa saa nne usiku kuepuka Corona


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza watoa huduma za baa na wamiliki wa maeneo ya starehe kufunga huduma hizo kwa kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) ili kuepusha maambukizi na kuenea kwa virusi hivyo.

Ruth Msafiri ametoa agizo hilo mapema siku ya leo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya ndani ya wilaya hiyo (radio za jamii) kwa lengo la kutoa tahadhari,kutoa elimu na hatua ilipofikia wilaya hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wachungaji Njombe watii agizo,wasitisha sherehe za harusi kuepuka CORONA


Na Amiri kilagalila,Njombe

Baada ya serikali mkoani Njombe kutoa maelekezo na kupiga marufuku matukio ya sherehe za harusi na misiba kuhusisha watu wengi ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya CORONA (COVID-19),viongozi wa madhehebu mbalimbali na wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji mkoani humo wamekiri na kuja na utaratibu mpya utakaokuwa ukitumika ili kuepukana na maambukizi hayo.

Wakiweka bayana hatua walizochukuliwa katika uendeshaji wa ibada za harusi na misiba viongozi wa dini...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SEHEMU YA BARABARA YA Ubungo Mataa Dar es salaam kufungwa kesho na keshokutwa usiku kupisha ujenzi

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na keshokutwa usiku kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara. Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam jana,Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Yahya Mkumba, alisema  kazi hiyo itahusu ujenzi katika makutano ya barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Nelson Mandela katika...

 

5 years ago

Michuzi

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM WAMFIKISHA LUKUVI SAA NNE USIKU


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020.

Sehemu ya...

 

5 years ago

Michuzi

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM WAMFIKISHA LUKUVI SAA NNE USIKU OFISINI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri 
Sehemu ya wananchi wa jiji la Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani