Wachungaji Njombe watii agizo,wasitisha sherehe za harusi kuepuka CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-1tB7OsNPv8c/XnzHZA0J7lI/AAAAAAALlLo/PqsCDFqjfFUf4GYcfxcOfd8Ld_BGILN0gCLcBGAsYHQ/s72-c/michuzi.jpg)
Na Amiri kilagalila,Njombe
Baada ya serikali mkoani Njombe kutoa maelekezo na kupiga marufuku matukio ya sherehe za harusi na misiba kuhusisha watu wengi ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya CORONA (COVID-19),viongozi wa madhehebu mbalimbali na wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji mkoani humo wamekiri na kuja na utaratibu mpya utakaokuwa ukitumika ili kuepukana na maambukizi hayo.
Wakiweka bayana hatua walizochukuliwa katika uendeshaji wa ibada za harusi na misiba viongozi wa dini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z6MUhkFCe2M/XnjLJl1lrmI/AAAAAAALk1o/z_ADjs4LoB0QAmXpBpjgkauLrsKbXmR2QCLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-03-23-17h15m58s086.png)
DC Njombe aagiza sehemu za starehe kufungwa saa nne usiku kuepuka Corona
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza watoa huduma za baa na wamiliki wa maeneo ya starehe kufunga huduma hizo kwa kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) ili kuepusha maambukizi na kuenea kwa virusi hivyo.
Ruth Msafiri ametoa agizo hilo mapema siku ya leo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya ndani ya wilaya hiyo (radio za jamii) kwa lengo la kutoa tahadhari,kutoa elimu na hatua ilipofikia wilaya hiyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qzAfK3w4T-Q/XnC4wxmvAFI/AAAAAAALkFA/mvu8kMtjtDY-bqxIA9S9UF2wftTa3k_sQCLcBGAsYHQ/s72-c/47ca69ff-2a20-4c75-b4e1-b45efa496c95.jpg)
WIZARA YA ELIMU YASITISHA SHEREHE ZA UFUNGUZI MASHINDANO YA MAKISATU KUEPUKA CORONA
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuchukua tahadhari ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwenye maeneo mbalimbali, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imehairisha sherehe za ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu zilizokua zifanyike leo jijini Dodoma.
Akizungumza leo katika uwanja wa Jamhuri ambapo mashindano hayo yanafanyika, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof James Mdoe kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
9 years ago
StarTV19 Nov
 Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko
Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMSPRFbI7aYU9uc8FPHzmYpQwb3PPp-Bs47JL2Yq035edYTon6uW8tNoDrL4kcZPJh7NhlToIlix-ot0PGpfqrj/lucy.jpg)
LUCY KOMBA: HARUSI BONGO, SHEREHE MAMTONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qtLlT5llXnvy2Zd*mM0LUahlKnjZ32zYyYePTGxGbtcpa15iMXH6Wi2ejovCyfxmRrq6IpIi0Crd2Yzlv1vbdI2/4.jpg)
BWANA HARUSI APATWA NA UCHIZI SHEREHE IKIENDELEA
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS.