Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC TANDAHIMBA AWATAKA WAKULIMA WALIOKOPA PEMBEJEO KULIPA MADENI YAO

 DC Waryuba akisistiza Jambo kwa wananchi.
 Wananchi wa Kijiji Cha  Mivanga wakimsikiliza DC Waryuba DC Waryuba (katikati) akiwa na wakuu wa Idara katika ziara yake ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo katika Wilaya yake

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amewataka wakulima waliokopa  pembejeo kulipa madeni hayo ili waweze kukopeshwa Tena katika msimu mpya

Hayo ameyasema wakati akijibu swali la mkazi wa Mikuyuni kata ya Nambahu Mkalavachi Mkalavachi kwenye muendelezo wa ziara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa madeni ya wakulima wa mahindi

>Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ameahidi kulipa deni la Sh5.7 bilioni inalodaiwa na wakulima wa mahindi.

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AWATAKA WAKULIMA KUJIUNGA CHAMA CHA USHIRIKA KUKUZA MITAJI YAO



Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amewataka wakulima kujiunga kwenye chama cha ushirika ili kuweza kukuza mitaji yao kwa kuitumia Benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB) iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kumwezesha mkulima.
Hayo alitasema katika uzinduzi wa shamba la mfano la upandaji wa miti lenye ukubwa wa hekali mbili uliofanywa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) katika kijiji cha Mikongo, Kata ya Kifanya wilayani Njombe ikiwa ni njia ya...

 

5 years ago

Michuzi

AFISA TARAFA ITISO AWATAKA MAAFISA UGANI NA WATENDAJI WA KATA KUWATAMBUA WAKULIMA WA UFUTA KATIKA MAENEO YAO

Charles James, Michuzi TV

AFISA Tarafa wa Tarafa ya Itiso Wilaya ya Chamwino, Remedius Emmanuel amesema serikali ina nia njema ya kuwasaidia wakulima kupitia mfumo wa Stakabadhi ghalani kwenye zao la ufuta.

Remedius ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wananchi wa Tarafa yake uliolenga kujenga uelewa wa pamoja na kutoa ufafanuzi juu ya azma ya Wakala wa Taifa was Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuweka kituo cha kununulia mahindi katika Tarafa hiyo.

NFRA wameweka kituo hiko kwenye Kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Pembejeo zawatesa wakulima

Wakulima wengi nchini wameshindwa kufikia malengo kutokana na gharama za pembejeo na kutofautiana taratibu, kanuni na masharti ya aina ya mazao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima kukopeshwa pembejeo

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

10 years ago

Mtanzania

Pembejeo zakwamisha wakulima wa korosho

20Na Florence Sanawa, Mtwara
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, imetoa siku 10 kwa mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho kuhakikisha kuwa pembejeo zinawafikia wakulima ili waweze kuwahi kupulizia dawa hizo msimu huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema usambazaji wa pembejeo hizo umemtia mashaka kutokana na wilaya tatu za Masasi, Mtwara Halmashauri na Tandahimba kukosa pembejeo hizo kwa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani