Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC WA NYAMAGAMA AFUNGUA AIRTEL RISING STARS MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akikagua timu wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana. Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akiongea wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga jana Jumapili (Agosti 15) alifungua mashindano ya Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza na kuwambia vijana kuwa wanalo jukumu la kubadilisha matokeo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NYAMAGANA DC AFUNGUA AIRTEL RISING STARS MWANZA

 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akikagua timu wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana. Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akiongea wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana.
MKUU wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga jana Jumapili (Agosti 15) alifungua mashindano ya Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza na kuwambia vijana kuwa wanalo jukumu la kubadilisha matokeo ya timu za Tanzania hasa katika mashindano ya kimataifa...

 

9 years ago

Michuzi

ALLIANCE, MARSH MABINGWA AIRTEL RISING STARS MWANZA


 Nahodha wa timu ya Alliance Academy Ally Hamisi (kushoto) akikabidhiwakombe na Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA)Bw. Jackson Songora baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza upande wa wavulana jana.Nahodha wa timu ya wasichana ya Marsh Meriany Kimbuya (kushoto)akikabidhiwa na kombe na Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya Ziwa Bw.Emmanuel Raphael baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Starsmkoa wa Mwanza upande wa wasichana jana.
TIMU  ya wavulana ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars

Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, ambapo timu za Temeke na Mwanza zilipepetana kwa upande wa wasichana huku Mwanza na Morogoro walitifuana vikali kwa upande wa wavulana. Kwa kuanzia na mchezo ambao ulizikutanisha timu za wavulana, Mwanza waliwasambaratisha vibaya Morogoro kwa kuwashindilia magoli 3-1. Mwanza ambao walionekana kutakata kila idara,...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh Abbas Kandoro afungua mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbaspo wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbozi wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya 


Kandoro afagilia mashindano ya vijana.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amefungua...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel wakabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars

Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika leo jijini Dar-es-Salaam. Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL WAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS‏

Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar-es-Salaam. ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL RISING STARS MBEYA

Ofisa Elimu wa Jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

TheCitizen

Morogoro RC opens Airtel Rising Stars

Morogoro Regional Commissioner honourable Rajabu Rutengwe opened the U-17 Airtel Rising Stars in Morogoro yesterday and called on regional football association and the Tanzania Football Federation (TFF) to pay special attention to youth programmes.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani