Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DCB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JUNI 27 JIJINI DAR

Takriban wanahisa 7,000 wa Benki ya DCB wanatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa Mwaka Jumamosi ya Juni 27 mwaka huu kwa njia ya mtandao.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa, amesema hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mkutano huo kufanyika kidijitali.
“Ninawakaribisha wanahisa wote katika mkutano huo utakaoanza saa nne asubuhi, utakaotoa fursa kwa Benki na wanahisa kutathimini mkakati wa miaka mitano tuliojiwekea,” anasema Ndalahwa.
Hatua ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA ISHIRINI WA WANAHISA JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel, Arusha
Kufuatia anguko la shilingi ya Tanzania dhidi ya dola wafanyabiashara nchini wametakiwa kuona kuwa ni fursa ya wao kijiinua kiuchumi katika biashara zao ndani na nje ya nchi na kuachana na propaganda za wanasiasa ambapo wanalalamikia anguko hilo.
Ambapo hali hiyo imesababisha kupanda kwa bidhaa mbalimbali nchini hali inayotajwa kuongeza ugumu wa maisha ya wananchi sambamba na wafanyabiashara nchini ambao wananunua na kuagiza bizaa kutika nje ya nchi. Hayo yameelezwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CRDB kufanya mkutano wa ishirini wa wanahisa Jijini Arusha kesho

unnamed

Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dr,Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini  wa wanahisa wa Benki ya Crdb  unatarajia kufanyika kesho jijini Arusha. (Habari Picha na Pamela Mollel wa Jamiiblog).

unnamed (1)

Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi mtendaji huduma mtambuka benki ya CRDB Bi.Esther...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TPCC WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta. Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY(TPCC)WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

UTT-PID yashiriki mkutano wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS jijini Dar es Salaam!

1 (1)

Maafisa masoko wa UTT-PID, Laurence Nzuki  (kushoto) na  Martin Mchanjila (katikati) wakitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliotembelea kwenye banda hilo la UTT-PID wakati wa mkutano huo wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS uliofanyika mwishoni mwa wiki, Novemba 21-22.2015, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID)  inafanya miradi mbalimbali ikiwemo  huduma za uuzwaji wa viwanja katika...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Vijimambo

MSUYA AONGOZA MKUTANO MKUU WA 42 WA WANAHISA DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robert Jaran (kushoto), akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa uliofanyika Dar es Salaam jana. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TBL, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Katibu, Bw. Huruma Ntahena na Mkurugenzi wa fedha TBL, Bw. Kenn O'flahenty.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka 2015, wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kufanya mkutano wake wa kisheria mwaka wa fedha 2019/2020 jijini dar


MKUTANO WA TUME: Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Balozi (mstaafu) Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha Tume kilichoanza leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kamishna George Yambesi na kushoto ni Kamishna Immaculate Ngwalle. (Picha na PSC)




 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YAKUTANISHA VIONGOZI WA SACCOS JIJINI DAR ES SALAAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii BENKI ya DCB imekutanisha viongozi wa  mifuko ya kuweka na Kukopa (SACCOS) kuweza kuwapa fursa mbalimbali zilizopo katika benki hiyo.Akizungumza na viongozi wa SACCOS,Meneja Mwandamizi wa Biashara Ndogo na Kubwa,Haika Machaku,amesema benki ya DCB iko karibu na SACCOS katika kupata fursa za utuzaji wa Amaana na huduma mbalimbali kwa gharama  nafuu.
Amesema wataendelea kushirikiana  na SACCOs kuangalia watavyoweza kusaidiana katika kuimarisha saccos pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani