Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA DCB YAKUTANISHA VIONGOZI WA SACCOS JIJINI DAR ES SALAAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii BENKI ya DCB imekutanisha viongozi wa  mifuko ya kuweka na Kukopa (SACCOS) kuweza kuwapa fursa mbalimbali zilizopo katika benki hiyo.Akizungumza na viongozi wa SACCOS,Meneja Mwandamizi wa Biashara Ndogo na Kubwa,Haika Machaku,amesema benki ya DCB iko karibu na SACCOS katika kupata fursa za utuzaji wa Amaana na huduma mbalimbali kwa gharama  nafuu.
Amesema wataendelea kushirikiana  na SACCOs kuangalia watavyoweza kusaidiana katika kuimarisha saccos pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

DCB Benki watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba

IMG_0003

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_00081

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_0012

Baadhi ya wananchi wakitembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu...

 

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Kigoma Malima akifungua semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha.  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.
 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza  Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays...

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa  huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...

 

9 years ago

Michuzi

EFM NA BENKI YA DTB KUFANYA USAFI DESEMA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya wasanii zaidi ya 50 wa Bongo Movie akiwamo Steve Nyerere, Wema Sepetu na Vicent Kigosi (Rey) wataungana na kituo cha redio cha EFM na Benki ya DTB kufanya usafi Desema 9 mwaka huu. Usafi huo utaanzia katika barabara ya Morocco hadi Magomeni, mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Sylvester...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta...

 

9 years ago

CCM Blog

MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI WAKE WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akihutubia kwenye Mkesha Mkubwa Kitaifa,Dua Maalum ya kuwaombea viongozi na Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Mchungaji Eden Godfrey akihubiri kwenye Mkesha Mkubwa Kitaifa, Dua maalum uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

 Viongozi wakiwa wameshikana mikono wakati wa maombi maalum kwa Taifa na Viongozi...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana  na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani