Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DCB yasaidia vitanda 21 hospitali za Dar

Benki ya DCB imetoa vitanda 21 vya wajawazito vyenye thamani ya Sh17.5 milioni kwa hospitali za Amana, Temeke na Mwananyamala za jijini Dar es Salaam. Kila hospitali imepatiwa vitanda saba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

CHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI

 Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akizungumza kabla ya kukabidhi vitanda 60 vya kujifungulia wakina mama katika mkoa wa Lindi, kushoto ni mkalimani wake Ndugu Mu Lin.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) ambapo alisema Serikali ya China pamoja na watu wake wamekuwa marafiki wa kweli kwa Tanzania na wamekuwa wakitoa misaada mingi bila kutoa masharti.

 Waziri wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

DCB Benki watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba

IMG_0003

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_00081

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_0012

Baadhi ya wananchi wakitembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga


 Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

DCB FURSA MPYA YA ELIMU KWA WATANZANIA HADI CHUO KIKUU KUPITIA AKAUNTI ZA DCB SKONGA NA DCB MINI SKONGA.

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Masoko, Rahma Ngassa (kulia), wakati wa uzinduzi wa DCB Skonga jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha ya Maktaba)

=======  ========   ========
KATIKA kuhakikisha wazazi na walezi wanakuwa na uhakika wa elimu ya watoto wao, Benki ya Biashara ya DCB imeongeza fursa zaidi kupitia akaunti yake DCB SKONGA kwa kuongeza DCB MINI SKONGA Ili kuunga mkono...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya vitanda 1000 kunufaisha kanda ya ziwa

231

Moja kati ya nyumba 10 zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania { NHC } zilizopoa katika eneo la Madewa Veta Mkoani Singida.

Na Othman Ame, Zanzibar

Mikoa Sita ya Kanga ya Kati  ya Tanzania inatarajiwa kufaidika na huduma za Afya zilizolengwa kutolewa baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa Kimataifa wa Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida ambayo tayari mwaka uliopita imeshaanza kutoa huduma za akina mama na Watoto.

Hospitali hiyo yenye vitanda 1,000  vya kulazwa wagonjwa...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YAIPATIA HOSPITALI YA TEMEKE VITANDA, MAGODORO NA MASHUKA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF, imeisaidia hospitali ya wilaya ya Temeke, vitanda, magodoro na mashuka ili kusaidia serikali katika juhudi zake za kupunguza uhaba wa vifaa vya hospitali za umma.
Msaada huo ambao ni utekelezaji wa maombi ya Mbunge wa viti maalum, Angela Kairuki, alioutoa kwa uongozi wa PSPF, baada ya kutembelea hospitali hiyo wakati akiwa naibu waziri wa Sheria na Katiba, na kukuta akina mama wajawazito waliofika hospitalini hapo kujifungua wengine wakilala chini kutokana na uhaba...

 

9 years ago

Michuzi

Agizo la Rais Magufuli kuhusu kununuliwa vitanda hospitali ya Muhimbili latekelezwa


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe Katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda na magodoro ya wagonjwa wanaolala chini limetekelezwa.


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema fedha hizo zimefanikisha kupatikana vitanda 300 vya wagonjwa pamoja na magodoro yake, shuka 600, Baiskeli za...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yasaidia ujenzi wa wodi ya watoto ya hospitali teule ya Dr. Artiman,Sumbawanga

Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Ramadhani Mhina (kushoto) akikabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa,Injinia Stella Manyanya hundi ya sh. mil. 1 kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya ujenzi wa wodi ya watoto ya hospitali teule ya Dr. Artiman memorial hospital (Kristo mfalme) iliyopo Sumbawanga,Mkoani Rukwa.Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (Mb) akizungumza na baadhi ya watendaji wa mkoa wa wakati wa kikao cha kikazi cha kujadili maendeleo ya kisekta mkoani Rukwa.Afisa wa...

 

10 years ago

Michuzi

DCB yang'arisha Kongamano la Wajasiriamali Dar

Meneja Masoko na Bidhaa wa Benki ya Biashara ya Dar es Salaam (DCB), Boyd Mwaisame, akitoa maelezo kwa wateja waliohudhuria Kongamano la Wajasiriamali Wanawake, kwenye viwanja vya Makumbusho Dar es Salaam, namna benki hiyo inavyoendesha huduma zake kadhaa, ikiwemo huduma za akiba, DCB Mobile, DCB jirani na utaratibu wa jinsi ya kukopa na masharti ya huduma za mikopo hasa SGL na Super SGL.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani