Dereva TTCL jela miaka 3
WATU wanne akiwemo dereva wa Kampuni ya Simu (TTCL) wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.8 baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa nyaya za simu zenye thamani ya Sh milioni 63.9.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Mar
Dereva Vodacom jela miaka 7
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa imemhukumu dereva wa Kampuni ya Simu ya Vodacom , Mussa Malima (28) mkazi wa mjini Sumbawanga kifungo cha miaka saba jela au faini. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Malima kukiri makosa matatu ya mwendo kasi, yaliyosababisha kifo cha mwendesha pikipiki na kujeruhi abiria wawili.
9 years ago
MichuziDEREVA MZEMBE AHUKUMIWA MIAKA MITATU JELA MKOANI MBEYA
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imememhukumu kwenda jela miaka mitatu Martin Mhina Dereva wa basi la Majinja kwa kuendesha gari kwa uzembe.
Waendesha Mashitaka wa Serikali Hannarose Kasambala na Catherine Gwatu wameiambia Mahakama kuwa Dereva huyo aliendesha Basi la Kampuni ya Majinja kwa uzembe mapema mwaka huu majira ya saa 12 asubuhi kwa kuigonga gari aina ya Toyota Hilux na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Mawakili hao wameiambia Mahakama kuwa Kesi hiyo namba...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Dereva bodaboda jela miezi sita
DEREVA wa Bodaboda, Shaban Hamis (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kusafirisha abiria bila ya kuwa na leseni ya usafirishaji.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Atupwa jela kwa kuiba nyaya za TTCL
MKAZI wa Kinondoni jijini Dar es Salaam Shaibu Ndina, amehukumiwa kwenda jela miaka minne kutokana na wizi wa nyaya za kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Hukumu hiyo ilitolewa juzi na...
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mahakama yamfunga Jela mwizi wa nyaya za TTCL
Mmoja wa watuhumiwa wa nyaya za simu. Picha hii haina uhusiano na habari hii.
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imemuhukumu kwenda jela miaka minne, Shaibu Muhidin Ndina baada ya kupatikana na kosa la kuiba nyaya za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Hukumu hiyo imetolewa Agosti 25, 2014 katika mahakama hiyo na B. Mashabara baada ya mshtakiwa kutiwa hatiani kwa kosa hilo la wizi wa nyaya(cables) za kampuni ya TTCL zenye thamani ya shilingi milioni...
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
5 years ago
MichuziMwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
11 years ago
GPLHOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4
9 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.