Atupwa jela kwa kuiba nyaya za TTCL
MKAZI wa Kinondoni jijini Dar es Salaam Shaibu Ndina, amehukumiwa kwenda jela miaka minne kutokana na wizi wa nyaya za kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Hukumu hiyo ilitolewa juzi na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mahakama yamfunga Jela mwizi wa nyaya za TTCL
Mmoja wa watuhumiwa wa nyaya za simu. Picha hii haina uhusiano na habari hii.
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imemuhukumu kwenda jela miaka minne, Shaibu Muhidin Ndina baada ya kupatikana na kosa la kuiba nyaya za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Hukumu hiyo imetolewa Agosti 25, 2014 katika mahakama hiyo na B. Mashabara baada ya mshtakiwa kutiwa hatiani kwa kosa hilo la wizi wa nyaya(cables) za kampuni ya TTCL zenye thamani ya shilingi milioni...
10 years ago
Habarileo03 Jan
Atupwa jela miaka 30 kwa ujambazi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Isaralo, Majire Peter (27), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Atupwa miaka 30 jela kwa unyang’anyi
MWANAUME mmoja amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Musoma mkoani Mara, kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 10, baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka
MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
11 years ago
Habarileo01 Apr
Atupwa jela miaka 65 kwa kumpa mimba mwanawe
MKAZI wa Mtaa wa Uhamila katika mji mdogo wa Rujewa, mkoani Mbeya, amehukumiwa miaka 65 jela kutokana na makosa matatu tofauti, yaliyotokana na kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Atupwa jela kwa kutosaini cheti cha ndoa
10 years ago
CloudsFM14 Aug
ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI
Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro, Simon Kobelo, askofu huyo amehukumiwa kifungo hicho pamoja na raia watano wa Kenya baada ya kupatikana na hatia ya kufanya wizi huo kwa mtutu wa bunduki.
Kati ya...
10 years ago
Habarileo05 Jul
Mwenyekiti atupwa jela kwa kulinda mkulima wa bangi
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbende, Alei Charles (Chadema) kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukiri kumlinda mshtakiwa Wenceslaus Namwanda “Pepea” anayemiliki shamba la bangi.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Raia wa Afrika Kusini atupwa jela kwa kuishi Zanzibar kinyume
RAIA wa Afrika Kusini amefungwa miaka mitatu jela Zanzibar kwa kosa la kujaribu kuishi Zanzibar kinyume cha Sheria.