Mwenyekiti atupwa jela kwa kulinda mkulima wa bangi
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbende, Alei Charles (Chadema) kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukiri kumlinda mshtakiwa Wenceslaus Namwanda “Pepea” anayemiliki shamba la bangi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jan
Atupwa jela miaka 30 kwa ujambazi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Isaralo, Majire Peter (27), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Atupwa miaka 30 jela kwa unyang’anyi
MWANAUME mmoja amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Musoma mkoani Mara, kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 10, baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Atupwa jela kwa kuiba nyaya za TTCL
MKAZI wa Kinondoni jijini Dar es Salaam Shaibu Ndina, amehukumiwa kwenda jela miaka minne kutokana na wizi wa nyaya za kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Hukumu hiyo ilitolewa juzi na...
11 years ago
Habarileo01 Apr
Atupwa jela miaka 65 kwa kumpa mimba mwanawe
MKAZI wa Mtaa wa Uhamila katika mji mdogo wa Rujewa, mkoani Mbeya, amehukumiwa miaka 65 jela kutokana na makosa matatu tofauti, yaliyotokana na kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Atupwa jela kwa kutosaini cheti cha ndoa
10 years ago
CloudsFM14 Aug
ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI
Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro, Simon Kobelo, askofu huyo amehukumiwa kifungo hicho pamoja na raia watano wa Kenya baada ya kupatikana na hatia ya kufanya wizi huo kwa mtutu wa bunduki.
Kati ya...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka
MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Mkulima wa bangi anaswa
Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi na pingu mkononi wakati askari aking’oa bangi hizo shambani.
Stori: Stephano Mango, SONGEA
KIBANO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limemnasa mkulima mmoja, Kiliani Fussi (pichani) kwa tuhuma za kulima bangi kwa kificho kwenye shamba lake maalum huku akijua ni kosa kisheria, twende na Risasi Jumamosi.
Polisi wakijadiliana jambo
Zoezi hilo lilifanyika hivi karibuni ambapo mkulima huyo alishtukizwa na askari akiwa kwenye shamba hilo lenye ukubwa wa nusu eka ambalo...
9 years ago
Habarileo08 Nov
Raia wa Afrika Kusini atupwa jela kwa kuishi Zanzibar kinyume
RAIA wa Afrika Kusini amefungwa miaka mitatu jela Zanzibar kwa kosa la kujaribu kuishi Zanzibar kinyume cha Sheria.