Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA

Stori: Rhoda Josiah WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali. Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga. “Siku ya leo ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar

16

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.

17

_1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MZEE SMALL

Mazishi ya gwiji la maigizo nchini, Said Ngamba 'Mzee Small' yaliyofanyika katika makaburi ya Tabata, Segerea jijini Dar Juni 9, 2014  na kuhudhuriwa na mamia ya watu. Awali Rais Jakaya Kikwete alifika nyumbani kwa marehemu,Tabata kutoa pole kwa familia ya Mzee…

 

11 years ago

GPL

R.I.P GWIJI WA VICHEKESHO MZEE SMALL

Makala: Erick Evarist IKIWA bado anga la sanaa nchini limegubikwa na hali ya sintofahamu kufuatia vifo vya waigizaji Adam Kuambiana, Sheila Haule ‘Recho’ na George Tyson, pigo lingine limetokea baada ya gwiji la vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ kuaga dunia mwishoni mwa wiki iliyopita. Gwiji la vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ enzi za uhai wake. Ni vigumu sana kuipokea...

 

11 years ago

GPL

HISTORIA YA MAREHEMU MZEE SMALL

Marehemu Mzee Small akiwa na mkewe Bi. Fatuma. Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58). Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo hapa Bongo. Mzee Small (kushoto) akiwavunja mbavu JB, Mzee Mbizo na Richie. Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya Mingumbi huko Kilwa mkoani Pwani. Mbali na kuwa mkongwe, Mzee Small kila ulipozungumza naye alikuwa na kawaida ya kutamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mamia wamzika Mzee Small

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana jioni walijitokeza kwa wingi kumsindikiza gwiji wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ katika safari yake ya mwisho, ambapo alizikwa...

 

11 years ago

CloudsFM

11 years ago

TheCitizen

Comical legislators beyond Mzee Small

The ‘smallness’ of the famous Tanzanian comedian, Saidi Wangamba, whose diminutive figure is what produced the nick-name ‘small’, reminds me of a joke related to a distinguished Tanzanian personality now in retirement.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aongoza mazishi ya Mzee Small

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya msanii wa kuigiza na vichekesho, Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani