DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7fbFYEpsk08/U7aPA5l6EoI/AAAAAAACkxA/b6k18H6ibgI/s72-c/2.jpg)
Pichani ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya maonyesho ya biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwal.Julius Nyerere jijini Dar,Bi. Upendo Tendewa akifafanua zaidi huduma zitolewazo na benki hiyo.Bi.Upendo amesema kuwa dhamira yao kubwa ni kukidhi mahitaji ya wateja ya kibenki na ya kifedha kwa kuhakikisha upatikanaji wa bidha na huduma bora kabisa katika soko kwa bei inayowezekana kulipa na viwango vyenye manufaa yanayolingana na gharama na faida ya kurudhisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-UnMjtZrtUqY/U7aPCDk8qdI/AAAAAAACkxI/GWZsrnXdfUU/s1600/3.jpg)
DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
TWIGA BANCORP yajivunia kuwa taasisi ya kifedha inayoongoza kutoa huduma bora za kibenki
Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo, kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam.
Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life, Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0FhaKQUtkXg/U7qZqaQpggI/AAAAAAACk94/NBA3j1UDLQg/s72-c/IMG_2937.jpg)
TWIGA BANCORP BENKI YENYE DIRA YA KUWA TAASISI YA KIFEDHA INAYOONGOZA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-0FhaKQUtkXg/U7qZqaQpggI/AAAAAAACk94/NBA3j1UDLQg/s1600/IMG_2937.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3UHRwsBtlN0/U7qZsXA348I/AAAAAAACk-E/uycPtAvIYW0/s1600/IMG_2762.jpg)
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao
Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Kampuni ya Tigo imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MC94Kwn2qog/UwHBfQwZTgI/AAAAAAAFNfs/5JXHcqTKoiU/s72-c/unnamed+(2).jpg)
NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAHAMASISHA WATEJA KUFUNGUA AKAUNTI YA DHAMIRA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZQc_f_YpOXw/XuUETTyAAlI/AAAAAAALtsA/ih3IX7o2W4YWqJFUKtoWVKjskCN5-JRdQCLcBGAsYHQ/s72-c/CHADEMA%2BTENA.png)
Chadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka 'Dhamira yetu sio madiwani pekee tutachukuwa mpaka halmashauri'.
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya mitiani yote wanayopitia.
Hayo yamebainishwa na viongozi wa chama hicho mkoani Njombe wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza madiwani wanaotokana na chama hicho wa halmashauri ya mji wa Makambako kwa kuvumilia na kufanikiwa kumaliza kipindi chao cha miaka mitano.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe...