Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.‏

Afisa Masoko wa Benki ya Twiga Bancorp Bwa.Adalbert Alchard akizungumza na Wanahabari nje ya banda lao kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo kwa wateja wao, kwenye maonyesho ya biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwal.Julius Nyerere jijini Dar.Pichani kushoto ni  Afisa wa Benki hiyo,Bi Tuddy Lutengan.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.

Pichani ni  Meneja wa Tawi lililopo ndani ya  maonyesho ya biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwal.Julius Nyerere jijini Dar,Bi. Upendo Tendewa akifafanua zaidi huduma zitolewazo na benki hiyo.Bi.Upendo amesema kuwa dhamira yao kubwa ni kukidhi mahitaji ya wateja ya kibenki na ya kifedha kwa kuhakikisha upatikanaji wa bidha na huduma bora kabisa katika soko  kwa bei inayowezekana kulipa na viwango  vyenye manufaa yanayolingana na gharama na faida ya kurudhisha...

 

11 years ago

Dewji Blog

TWIGA BANCORP yajivunia kuwa taasisi ya kifedha inayoongoza kutoa huduma bora za kibenki

IMG_2937

Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo, kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.

IMG_2762

Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life, Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa  Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA BANCORP BENKI YENYE DIRA YA KUWA TAASISI YA KIFEDHA INAYOONGOZA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI.

 Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo ,kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.
 Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life,Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa  Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao

DSC03177 (FILEminimizer)

Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana  na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.

DSC03188 (FILEminimizer)

Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.

Kampuni ya Tigo  imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu...

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAHAMASISHA WATEJA KUFUNGUA AKAUNTI YA DHAMIRA

Meneja Msaidizi wa Benki ya Azania Joseph Msase akikabidhi fomu ya Akaunti ya Dhamira kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo Benjamini Mengi.Mteja wa Benki ya Azania Benjamini Mengi akionesha fomu yake baada ya kujiunga na Akaunti ya Dhamira ,wengine ni wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi,Hajira Mmambe(mwenye kilemba) na familia ya Mengi.Mtoa huduma kwa wateja katika Benki ya Azania tawi la Moshi ,Happy Msengi akimshawishi Mama Mengi kufungua akaunti ya Dhamira iliyoanzishwa katika Benki...

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka 'Dhamira yetu sio madiwani pekee tutachukuwa mpaka halmashauri'.


Na Amiri Kilagalila,Njombe

Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya mitiani yote wanayopitia.

Hayo yamebainishwa na viongozi wa chama hicho mkoani Njombe wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza madiwani wanaotokana na chama hicho wa halmashauri ya mji wa Makambako kwa kuvumilia na kufanikiwa kumaliza kipindi chao cha miaka mitano.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani