Dhana ya kiongozi wa chama inavyotekelezwa ulimwenguni
Tangu kuanzishwa kwa Chama cha ACT – Wazalendo kumeibuka mjadala mzito juu ya dhana ya kuwa na viongozi wawili ndani ya chama wenye nafasi zinazokaribiana kiuamuzi. Wapinzani wa chama hiki wameelekeza upinzani wao kwa wanaoshika nafasi hizo kwa sasa na hasa kwa kiongozi wa chama, bila kuiangalia dhana na kuijadili kisha kuipa sifa ya kufaa ama kushindikana kwake katika mazingira yetu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 Feb
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Mjadala ulioongozwa na Mjengwa; Cleopa Msuya na dhana ya maadili ya kiongozi urais 2015, sikiliza hapa
Waziri mkuu Mstaafu Cleopa Msuya.
Kusikiliza mjadala huo ulioongozwa na Maggid Mjengwa kupitia kipindi cha “Soko la habari la Kariakoo” unaweza kubofya hapa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXTauJmIS92HOSKBCPhxnrBoMrJ1VdM*xwFGvBnDsw3yWJSTFMarlueNGVihO-iRgRqRBuAyc3*ocsJmpWkorpRG/feruzi.jpg?width=650)
KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA
10 years ago
BBCSwahili10 May
Chama cha Upinzani chamteua kiongozi mweusi
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 Apr
TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI-ZITTO ZUBERI KABWE(KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) @ACTWazalendo
TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO
WEALTH DECLARATION FORMS FOR ZITTO ZUBERI KABWE-PARTY LEADER ACT-WAZALENDO
View this document on Scribd![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3530&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)
10 years ago
Michuzi20 Jun
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA
![001](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/00111.jpg)
![002](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/0027.jpg)
![mail.google.com](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/mail.google.com_18.jpg)
![003](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/0033.jpg)
10 years ago
Michuzi15 Jun
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/486.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2119.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/397.jpg)
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 May
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Coronavirus: Jinsi amri ya kutotoka nje inavyotekelezwa na mataifa tofauti duniani kuzuia virusi vya corona