DIAMOND & WEMA WAFUNIKA RED CARPERT MTV
![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi2ofcdtX*HXLdFLsOIdT1N5qTMoxvBBofza4HMv7Tk*NwNcpiORZ5XDn7NWbm4XwyhjNGe5NymUHTd8j4i4Wiss/diamondandwema.jpg)
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB! Picha na mtandao
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi0HcbGS3D9aU8LnL9VNp-HL8QGb0FAueINoNbJUbalvOBmaRDMlXx3BX7a3LFVgZ38QedivhfSC-4T5-BR*2lTE/10431972_463896623744498_1233762046_n.jpg)
10 years ago
Bongo510 Jul
Eddy Kenzo aeleza sababu za kwanini BET walimkabidhi tuzo yake kwenye Red Carpert
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Wema Sepetu: Siwezi Kumsapoti Diamond Kwenye MTV Awards, Nitaonekana Ninajipendekeza
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..
Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa staa kutoka bongo flevani, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money. Najua pia mmekuwa mkimfuatilia Vanessa kwenye matukio yake mengi na kwa ajili ya upendo wenu mmeamua pia kuwa karibu naye kwenye Instagram ili chochote atakachokifanya kisikupite. Ukitembelea Instagram page ya Vee Money @VanessaMdee sasa hivi utakutana na […]
The post Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu! appeared first on...
10 years ago
Bongo520 Jul
Nani alipendeza zaidi kwenye red carpet ya MTV MAMA? (Picha)
9 years ago
Bongo526 Oct
MTV EMAs 2015: Picha za mastaa mbalimbali kwenye Red Carpet
11 years ago
GPLWEMA, KAJALA, AUNT WAFUNIKA TRIPLE A JIJINI ARUSHA