Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND APOKELEWA KAMA RAIS AKITOKEA ‘AFRIMMA’ MAREKANI

Waendesha bodaboda wakiongoza msafara huo. Diamond akiwa juu ya gari akiwa ameshikilia tuzo aliyopata. Watu mbalimbali wakitembea kwa miguu katika msafara huo kumpokea shujaa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DIAMOND KAMA KAWA, ATWAA TUZO AFRIMMA

Diamond wakati akielekea kwenye ukumbi linapofanyika zoezi la utoaji tuzo za Afrimma. STAA wa B ongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' mpaka sasa ametwaa tuzo moja ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zinazoendelea jijini Texas nchini Marekani. Staa huyo anawania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya… ...

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014 (African Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26 Dallas, Marekani. Diamond ameshinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki. Mtanzania mwingine aliyeing’arisha Tanzania katika tuzo hizo ni Lady Jaydee, ambaye nae ameshinda tuzo moja ya mwanamuziki […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma

Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]

 

11 years ago

Bongo5

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani. Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine. Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, […]

 

9 years ago

Mtanzania

Chameleone apokelewa kama rais Congo

ChameleoneKINSHASA, CONGO

NYOTA wa muziki nchini Uganda, Joseph Mayanja ‘Jose Chameleone’, amezidi kung’aa nchini Congo mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya mapokezi yake kufananishwa na ya rais.

Msanii huyo ambaye anafanya vizuri zaidi ya miaka 16 nchini Uganda, aliwashangaza mashabiki nchini Congo baada ya kuwasili kwa ajili ya onyesho lake, ambapo kwenye uwanja wa ndege alipokelewa na wanajeshi na polisi kama ilivyo katika mapokezi ya rais hivyo kuwashangaza wasanii wakubwa nchini humo.

Hata hivyo,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli apokelewa kama mfalme Kigoma, wananchi wakiri wazi atosha kuwa rais

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja wa Kawawa,mkoani Kigoma jioni ya jana. (PICHA NA MICHUZI JR-KIGOMA).

Dkt Magufuli amewaambia wananchi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni jana jioni kwenye uwanja wa kawawa kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja wa Kawawa,mkoani Kigoma jioni ya leo.
 Dkt Mafuli amewaabia wananchi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni leo jioni kwenye uwanja wa kawawa kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema,amesema kuwa Serikali yake...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO LEO MCHANA WILAYA YA MUHEZA AKITOKEA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA

 Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Muheza waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani TangaWananchi wa Muheza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo mchana wakimsikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani