Chameleone apokelewa kama rais Congo
KINSHASA, CONGO
NYOTA wa muziki nchini Uganda, Joseph Mayanja ‘Jose Chameleone’, amezidi kung’aa nchini Congo mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya mapokezi yake kufananishwa na ya rais.
Msanii huyo ambaye anafanya vizuri zaidi ya miaka 16 nchini Uganda, aliwashangaza mashabiki nchini Congo baada ya kuwasili kwa ajili ya onyesho lake, ambapo kwenye uwanja wa ndege alipokelewa na wanajeshi na polisi kama ilivyo katika mapokezi ya rais hivyo kuwashangaza wasanii wakubwa nchini humo.
Hata hivyo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDIAMOND APOKELEWA KAMA RAIS AKITOKEA ‘AFRIMMA’ MAREKANI
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Magufuli apokelewa kama mfalme Kigoma, wananchi wakiri wazi atosha kuwa rais

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja wa Kawawa,mkoani Kigoma jioni ya jana. (PICHA NA MICHUZI JR-KIGOMA).

Dkt Magufuli amewaambia wananchi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni jana jioni kwenye uwanja wa kawawa kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha...
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS


11 years ago
Michuzi05 Mar
GODFREY MGIMWA APOKELEWA KAMA MFALME KIJIJINI KWAO MAGUNGA

Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
9 years ago
Habarileo06 Nov
Rais mpya apokelewa kwa mbwembwe Ikulu
RAIS Dk John Magufuli jana baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam alipokewa kwa shangwe na vifijo na wafanyakazi wa Ikulu eneo la Magogoni majira ya saa 7.30 mchana.
10 years ago
Bongo Movies10 Jul
Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete
Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu
Vicent Kigosi “Ray”...
10 years ago
Dewji Blog18 May
Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo






10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Congo kuandaa kura kuhusu muhula wa rais
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville