DIAMOND ATAJA SIRI YA KUMPENDA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj0uLjGE0PJGSzUkk*wIOiPKbmK4Ge9XKYj4uACvqGAP**m0aKZEwaSCqJ71JBydGVhqOZmRLmfpxb4CtDKOzXGC/diamond.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. “Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,†alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Dec
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE
![](http://api.ning.com/files/BybgAqvu3OnnTpxUvjp2wQpPb9wrnW0FkthLue3yshTOidJli16V4T5N7Kf0h69qzGS4dpJLITqItRlnYOJCkca9i3FYLzYH/diamondzari.jpg?width=650)
10 years ago
GPLLADY NAA AANIKA SIRI YA KUMPENDA ZARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXp59OfuCy2mHWgsEF5FxKG5kkjTV*8c35Av11jarpFWZA4vn1wfYtgfUmcwxJWQs7MQJmusyRo5MMjuVYMpmcdf/Diamond.gif?width=650)
DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Oln00cuAGRCBFMhgHVn4qx4jFH7z6FVXUJSBe3neRc-oG6TU0*J8GzIQ6kgR2QntO5iwwNnRLYzBSJL8fEhFwpB/FRONT.jpg?width=650)
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI!
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/nrgz6hnZ1ho/default.jpg)
5 years ago
MichuziDIWANI KATA YA KIBAMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE ATAJA SIRI 14 YA KUFANIKIWA KWAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQhyrU09gKQXISIObWdyoYmx4**t6ssl7hjzOeUtJAlMO544sw8heO-KP9vRqoXQrvdGSAFNrpWyS9IUF94OS6JE/WEMA.jpg?width=650)
WEMA ATAJA MATUKIO ANAYOYAMISI KWA BABA’KE
9 years ago
Bongo531 Dec
Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu
![wemaa na kadinda](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/wemaa-na-kadinda-200x198.png)
Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.
Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.
“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...