Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya Mezani
Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya MezaniMeridianbet kasino imetengeneza utaratibu mzuri sana wa kuwapa wateja wake michezo bora ya Sloti na Karata. Na imekua si ajabu tena kwakua tumekuletea mchezo mwingine Bora kabisa wa Sloti Kasino wa Diamond Blackjack.
Blackjack ya kwanza kabisa ya Meridian ni Mchezo wa karata wa mezani ambao Haukwepeki na wala hautabiliki ukilinganisha na michezo mingine ya Kasino inachochezwa kidigitali. Mchezo huu umeleta pamoja Upekee na mpangilio...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Diamond Platnumz ndio habari ya mjini
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond’ akiwa na tuzo yake akizunguka mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kuwasili jana akitokea Marekani
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasseb Abdul ‘Diamond’, jana amesherehekea tuzo yake ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki ya AFRIMMA kwa kupita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hadi nyumbani kwao alikokulia, Tandale.
Katika eneo hilo kulikuwa na muziki kwa ajili ya...
9 years ago
Bongo514 Dec
Hii ndio scene iliyomtoa machozi Diamond kwenye video ya Utanipenda!
Diamond Platnumz aliamua kuitumia familia nzima kwenye video ya wimbo wake mpya, Utanipenda!
Mchumba wake Zari, mwanae Tiffah, mama yake Sandra na mameneja wake Babu Tale na Said Fella wameonekana.
Hata hivyo scene ya mama yake inayomuonesha akienda kwa Jakaya Kikwete na kufukuzwa na pia kwa Said Fella na kufukuzwa pia ilimliza Diamond.
“Wakati hii scene inashutiwa sikuweza kabisa kukaa karibu, ijapokuwa ilikuwa ni uigizaji ila nikajikuta najiskia vibaya alivyokuwa anafukuzwa na...
10 years ago
VijimamboHII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA