Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND: MITANDAO YA KIJAMII IMESAIDIA KAZI ZANGU KUWAFIKIA MASHABIKI DUNIA NZIMA

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz mwenye ‘followers’ 489,881, kwenye twitter watu laki 131, na Instagram watu 291,643, You Tube ‘subcribers’ 76,134.Hii inamaanisha Diamond ni msanii na Mtanzania wa kwanza mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii maarufu.

Pia Diamond amefunguka jinsi mitandao ya kijamii inavyomsaidia katika kuuutangaza muziki wake na lebo yake kwa kumsogeza karibu zaidi na jamii ya watu wanaotumia mitandao hiyo dunia nzima.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA SIKU TATU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) YAFUNGWA NA KAMISHNA WA KAZI NA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR.

 Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akitoa nasaha na kufunga Mafunzo ya siku tu ya matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) yaliyofanyika Shule ya VIP mwanakwerekwe Mjini Zanzibar (kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman na (kushoto) Mjumbe wa kamati ya wazazi Ndugu. Makame Ameri Yusuf.  Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi wa (Social...

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Mitandao ya kijamii itumike kwa maendeleo’

WATANZANIA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kupata taarifa mbalimbali na kuzitumia katika maendeleo.

Mjumbe wa Bodi ya Utendaji ya Kituo cha Ushirikiano wa Kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karibiani na Pasifiki (CTA), Profesa Faustin Kamuzora, amesema taarifa hizo zina mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta za kilimo, usindikaji, biashara na ukuzaji wa masoko katika ukanda wa Afrika Mashariki na duniani kwa jumla.

Akifungua mafunzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani