DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY
Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY
11 years ago
GPLDIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY NCHINI MAREKANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XxljNrmdEYL3MqhRzTeQFS8fw2EI0XXvoI8bO6gQctayERHnZew9WxiXdcdTGbm6hXPQSejYZW8bYAaXm6lrGzoENmxHrA*0/DIAMONDNEWJERSEY.png?width=650)
10 years ago
Vijimambo30 Dec
10 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
YAMOTO BAND: Kupiga show kwenye Tanzania Night @ 54 ndani ya Washington DMV, Desemba 5!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-h2yiT4-P5VI/VkVbklmNRSI/AAAAAAAATgc/FRaAOmSc34Q/s640/YB%2BFlyer%2BDMV%2BFlyer.jpg)
** KIINGILIO**
$ 30 – WATU 200 WA KWANZA
$ 40 – BAADA YA WATU 200 KUTIMIA
TUNAOMBA MUWAHI ILI SHOW IANZE...
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND KUPIGA SHOW MBILI KABAMBE NDANI YA "USA" NOVEMBER 28 -HOUSTON TX | DECEMBER 5 -WASHINGTON DC !!
9 years ago
Bongo505 Jan
Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’
![h n d](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/h-n-d-300x194.jpg)
Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.
Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...