Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND PLATNUMZ ACHENGUA UBELGIJI‏

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' pamoja na madansa wake wakiwapagawisha mashabiki waliohudhuria shoo yake jijini Brussel nchini Ubelgiji. Diamond Platnumz akizidi kuwachizisha mashabiki wake jijini Brussel. (Picha na Maganga One…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKAMUZI YA DIAMOND PLATNUMZ CALIFORNIA JUNI 28, 2014‏

 Diamond Platnumz mwanamuziki wa Bongo Fleva asiyeshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa...

 

10 years ago

GPL

MO, DIAMOND PLATNUMZ KUTIKISA SINGIDA MJINI MCHANA HUU‏

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akishuka kwenye ndege mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida. Mwanamuziki wa kimataifa, Diamond Platnumz akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Singida, Jumanne Hamis Nguli. Mh. Mohammed Dewji akilakiwa na Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Mazala mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida mjini kwa ajili...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATINGA NDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO‏ JIJINI KANSAS,MAREKANI

Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Bston (kulia)  Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati ajibu moja ya maswali waliyomuuliza.…

 

10 years ago

GPL

SHILOLE ALIVYONOGESHA UBELGIJI‏

 Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi . Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii .
 Wachaa weeee .…

 

11 years ago

GPL

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI‏

Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh:Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container...

 

11 years ago

GPL

UPENDO WOMEN'S GROUP BRUSSELS UBELGIJI WAICHANGIA HOSPITALI YA MWANANYAMALA‏

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Kamala akifungua hotuba yake katika hafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya akina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Kenya nchini Ubelgiji Johson Uweru na pembeni yake ni Mwakilishi kutoka Madagascar Norbet Richard Ibrahim. Kulia kwa Dk. Kamala ni Balozi wa Burundi Dk. Felix.
Upendo...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani