DIAMOND PLATNUMZ KUCHANGIA KODI YA PANGO KWA KAYA 500 NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-AEQk4v25bkY/XqRUiq4ALzI/AAAAAAALoMQ/EaxkkeRKcXYQF8n8RUmyqUEuPxQivhuuQCLcBGAsYHQ/s72-c/90c318e9-89c9-47c2-b82d-2a51b041f028.jpg)
Msanii Nyota wa muziki wa kizazi kipya a.k.a BongoFleva Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, amesema kuwa atachangia ‘kodi ya pango’ kwa kaya 500 nchini kwa ajili ya kupunguza makali ya kiuchumi wakati huu ambapo Watanzania wanapambana dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19).
''Najua katika kipindi hiki cha Corona, mambo mengi hayajakaa sawa, hususani upande wa biashara, nyingi zimeshuka na kupelekea hali ya kifedha kuyumba na mambo kuwa kidogo magumu kwa wengi wetu... na mimi ni miongoni...
Michuzi
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10