ALICHOKISEMA HAJI MANARA BAADA YA MSANII DIMAOND PLATNUMZ KUTANGAZA KUCHANGIA KODI KWA KAYA 500 NCHINI

Na Ripota Wetu,Michuzi TV
SIKU moja baada ya msanii marufu nchini Nassib Abdull a.k.a Diamond Platnumz kutangaza kuchangia Kodi ya pango kwa kaya 500 nchini ,Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara ameamu kivunja ukimya huku akimtaka auoe ili wakakutane peponi.
Diamond kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii ametangaza kusaidia kuchangia kod kwa kaya hizo 500 na utaratibu kwa watakaochangiwa utatolewa kesho Jumatatu ya Aprili 27 mwaka huu.
Baada ya ujumbe huo ,Manara ameamua kumpongeza Diamond...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
DIAMOND PLATNUMZ KUCHANGIA KODI YA PANGO KWA KAYA 500 NCHINI

''Najua katika kipindi hiki cha Corona, mambo mengi hayajakaa sawa, hususani upande wa biashara, nyingi zimeshuka na kupelekea hali ya kifedha kuyumba na mambo kuwa kidogo magumu kwa wengi wetu... na mimi ni miongoni...
5 years ago
Michuzi17 May
9 years ago
Michuzi
UCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA

10 years ago
Michuzi.jpg)
Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba
.jpg)
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...
10 years ago
Michuzi
MSUMAJI WA SIMBA HAJI SUNDAY MANARA AWAPONGEZA WAPENZI WAO

Ninawaandikia ujumbe huu makhsus kuwashukuru kwa mara nyingine kwa kazi nzuri mliyoifanya uwanjani Leo kwa kuishangilia timu yenu mwanzo mwisho kwenye mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Taita.
Mimi naamini bila ya support yenu Simba haiwezi kufanya vizuri hata siku moja.
Pia kwa niaba ya uongozi wenu tunawashkuru sana wapenzi wetu ambao hawakujaaliwa kufika uwanjani hii leo. Sisi tunaamini dua na sala zao zmesaidia kutupa nguvu hii leo na kupata points...
10 years ago
Michuzi
Haji Sunday Manara amlilia Rafiki yake Ramadhani Masanja Banza Stone

Oooh Rama Mate...! Nilipenda kumwita hvyo. Ni kijana wa mjini hasa. ilianza nae standard one shule ya msingi darasa moja pale Mnazi Mmoja Primary school iliyopo mkabala na iliopozaliwa TANU (ofisi ndogo ya CCM ) New street (Lumumba) na tulikuwa sote kwa miaka miwili kabla ya wazazi kunihamishia Bunge Orimary iliopo Ohio street mkabala na ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa miaka hiyo tulikuwa na uswahiba mkubwa wa kitoto. Nikikumbuka halftime mbio zetu kwenda kwa muuza...
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)
Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]
The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo
BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...