Diamond: Samahani JWTZ
HATIMAYE msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdallah ‘Diamond Platinumz,’ ameliomba radhi Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kutumia magwanda ya kijeshi hilo bila kuwa na kibali. Diamond...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
JWTZ: Diamond hakuwa na kibali
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema kuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul maarufu ‘Diamond Platinumz’, aliyetinga na sare za jeshi jukwaani kwenye tamasha la Fiesta, hakuwa na kibali...
10 years ago
VijimamboDIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ
Katika Onyesho hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, mwishoni mwa wiki iliyopita, pia wasanii kadhaa akiwapo Ney wa Mitego pia walipanda jukwaani na wanenguaji wao wakiwa wametinga mavazi kama hayo aliyotinga Diamond.
Kutokana na tukio hilo, Kamanda wa...
10 years ago
GPLHAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
JWTZ yaonya
KUTOKANA na kuzidi kushamiri kwa matukio ya uhalifu nchini, huku wahusika wakionekana kutumia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jeshi hilo limeonya na kupiga marufuku wanaovaa sare za...