Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ

UFUATIA picha zilizoenea katika mitandao ya Kijamii, kuhusiana na msanii huyo kutinga mavazi hayo, hivi sasa Jeshi la Polisi limemfungulia mashitaka msanii huyo kwa tuhuma za kupanda jukwaani akiwa na sare za jeshi.

Katika Onyesho hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, mwishoni mwa wiki iliyopita, pia wasanii kadhaa akiwapo Ney wa Mitego pia walipanda jukwaani na wanenguaji wao wakiwa wametinga mavazi kama hayo aliyotinga Diamond.

Kutokana na tukio hilo, Kamanda wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

9 years ago

Michuzi

Martha Mwaipaja, Jesca BM, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo ambalo lina mlengo wa kurudisha Shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Martha Mwaipaja, Jesca, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

marthaNA MWANDISHI WETU

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini, Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila, wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo, ambalo lina malengo ya
kurudisha shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.
Mwenyekiti...

 

9 years ago

Bongo5

Linah na Feza Kessy kupanda jukwaa moja na Davido, Iyanya Lagos

12301250_207304429604231_67909760_n

Feza Kessy na Linah watapanda jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015 Ijumaa hii.

12301250_207304429604231_67909760_n

Msanii wa Kenya, Victoria Kimani naye atatumbuiza.

“Nigeria I hope your ready cos Ive been so ready. Tanzanian angels about to rock Lagos soon. Ayeee,” ameandika Feza kwenye Instagram.

Shilole pia ameongoza na wasanii hao japo haijulikani kama naye atatumbuiza.

12357796_1532490560405730_1494566873_n
Feza akiwa na meneja wa Panamusiq Doreen Estazia

Jiunge na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, John juzi alikonga nyoyo za mamia ya wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa albamu yake ya Uko Hapa yenye nyimbo 18, uliofanyika katika Diamond...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa Baba wa Taifa na Vitalis Maembe kupanda Mlima Kilimanjaro kuchangia jukwaa la sanaa

DSC_0009

Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo.

Na Mwandishi wetu

Madaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and Development East Africa (CDEA) kuwa mabalozi wa kushiriki kampeni ya kupanda Mlima...

 

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol kupanda jukwaa moja na Beyonce, Usher kwenye Global Citizen Festival

Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya litapanda kutumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wakubwa wa Marekani akiwemo Beyonce kwenye Global Citizen Festival itakayofanyika Jumamosi hii jijini New York. Wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Usher, Common na Tori Kelly. Kwenye tamasha hilo mastaa wengine watakaoshiriki ni muigizaji wa filamu, Leonardo DiCaprio, Bono, mshindi wa […]

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA BABA WA TAIFA NA VITALIS MAEMBE KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA JUKWAA LA SANAA‏

Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Ayeta Wangusa (wa pili kushoto) akielezea lengo la kuanzishwa kwa Jukwaa la sanaa na… ...

 

11 years ago

CloudsFM

HII NDIYO LIST YA WASANII WATAKAOPAFOMU KWENYE JUKWAA LA FIESTA KAHAMA/BUKOBA.

Baada ya Mwanza kukata utepe wa Serengeti fiesta ya mwaka huu kwa siku ya jumamosi. harakati za kusambaza upendo sasa zinahamia bukoba kwa siku ya ijumaa hii ya tarehe 15 mwezi huu, na kahama ambapo itakuwa siku ya jumapili ya tarehe 17 mwezi huu. sasa nikupe mchongo wa mastaa wako utakaoweza kuwashuhudia; Ommy Dimpoz,
Young Killer,
Barnaba,
Madee,
Jux,
Ney wa Mitego,
Stamina,
Mr. Blue,
Recho,
Linah,
Super Nyota,
Khadija wa Maumivu na
BK sunday. kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani