Lisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond
MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, John juzi alikonga nyoyo za mamia ya wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa albamu yake ya Uko Hapa yenye nyimbo 18, uliofanyika katika Diamond...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-gAL4FDo2WI0/VDK39x1mAmI/AAAAAAABKbE/mlzmho7p65A/s72-c/1.jpg)
LISU ASHAMBULIA JUKWAA KWA SAA MBILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-gAL4FDo2WI0/VDK39x1mAmI/AAAAAAABKbE/mlzmho7p65A/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-yWZhO6eJxBU/VDK7I2t8NtI/AAAAAAABKbY/RL7osJr_-ZQ/s640/2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhxRh*2Z5Bs8i8eOYIPn3YqSNwT8Kj1FcKgkfRG-N6Y4b-hA-BPyOJNdoAHh434M4e93iL1MHPqGzVmA29vRQqiz/FRONTWIKIENDA1.jpg?width=750)
DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI
KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili. Soma zaidi hapa...
10 years ago
Vijimambo29 Jun
DIAMOND ATAITIWA AIRPORT KWA SAA MBILI
Musa MatejaKIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.
Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.Tukio hilo lililoshuhudiwa hatua kwa hatua na gazeti...
![1](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/115.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](https://lh3.googleusercontent.com/-7kkeo3b1II8/VISse843A0I/AAAAAAAARiw/iekIGNHboeY/s72-c/blogger-image--1234830214.jpg)
DIAMOND PLATNUM - ATAKUWA SAFARI LEO KUANZIA SAA MBILI DINNER & MINGLE
![](https://lh3.googleusercontent.com/-7kkeo3b1II8/VISse843A0I/AAAAAAAARiw/iekIGNHboeY/s640/blogger-image--1234830214.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s72-c/unnamed+(16).jpg)
VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZINAZOUNDA JUKWAA LA HAKI JINAI WAKUTANA MJINI BAGAMOYO KWA MKUTANO WA SIKU MBILI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s1600/unnamed+(16).jpg)
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Tendwa: Nilifungiwa CUF kwa saa mbili ofisini nikamriwa nikae kimya!
John Tendwa ni msajili wa vyama mstaafu ambaye alitumikia nafasi hiyo kwa miaka 13 mfululizo, akipewa kijiti na mtangulizi wake George Liundi ambaye kwa sasa ni marehemu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s72-c/delux%2Bcoach3.jpg)
TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s640/delux%2Bcoach3.jpg)
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
10 years ago
Michuzi28 Apr
WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/sabas-may10-2013%282%29%281%29.jpg)
kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.
Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-xPtyBiBFF3c/VEX3WFmZqZI/AAAAAAACR4w/lTpvgLXu5-E/s72-c/IMG_43399519162233.jpeg)
DIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ
![](http://2.bp.blogspot.com/-xPtyBiBFF3c/VEX3WFmZqZI/AAAAAAACR4w/lTpvgLXu5-E/s640/IMG_43399519162233.jpeg)
Katika Onyesho hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, mwishoni mwa wiki iliyopita, pia wasanii kadhaa akiwapo Ney wa Mitego pia walipanda jukwaani na wanenguaji wao wakiwa wametinga mavazi kama hayo aliyotinga Diamond.
Kutokana na tukio hilo, Kamanda wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania