Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tendwa: Nilifungiwa CUF kwa saa mbili ofisini nikamriwa nikae kimya!

John Tendwa ni msajili wa vyama mstaafu ambaye alitumikia nafasi hiyo kwa miaka 13 mfululizo, akipewa kijiti na mtangulizi wake George Liundi ambaye kwa sasa ni marehemu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT KWA SAA MBILI

Musa MatejaKIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.1Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.Tukio hilo lililoshuhudiwa hatua kwa hatua na gazeti...

 

10 years ago

Vijimambo

LISU ASHAMBULIA JUKWAA KWA SAA MBILI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji,  John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, John juzi alikonga nyoyo za mamia ya wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa albamu yake ya Uko Hapa yenye nyimbo 18, uliofanyika katika Diamond...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI


kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari  ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.

Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo  wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI

KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili. Soma zaidi hapa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Baada ya kimya kirefu Ali Kiba aachi nyimbo mbili mfululizo “Kimasomaso” na “Mwana Dar” zisikilize hapa!

Alikiba - Mwana Cover Done CD-1

Unaweza kusoma Profile ya Ali Kiba hapo chini

Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa’s biggest stars and his name is steadily becoming a household name internationally.
So influential is Alikiba that the Tanzania’s president Jakaya Mrisho Kikwete honored him for his invaluable contribution to Tanzanian Music and Arts and Culture feted him.

In 2011, Alikiba was voted as “the most...

 

5 years ago

Michuzi

UTATUZI MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM WAMFIKISHA LUKUVI SAA NNE USIKU OFISINI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri jana tarehe 23 Februari 2020. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wananchi wa Mabwepande waliofika ofisni kwake Dar es Salaam kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi kupitia program ya Funguka kwa Waziri 
Sehemu ya wananchi wa jiji la Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani