LISU ASHAMBULIA JUKWAA KWA SAA MBILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-gAL4FDo2WI0/VDK39x1mAmI/AAAAAAABKbE/mlzmho7p65A/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Lisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond
MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania, John juzi alikonga nyoyo za mamia ya wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa albamu yake ya Uko Hapa yenye nyimbo 18, uliofanyika katika Diamond...
10 years ago
Vijimambo29 Jun
DIAMOND ATAITIWA AIRPORT KWA SAA MBILI
![1](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/115.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s72-c/unnamed+(16).jpg)
VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZINAZOUNDA JUKWAA LA HAKI JINAI WAKUTANA MJINI BAGAMOYO KWA MKUTANO WA SIKU MBILI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s1600/unnamed+(16).jpg)
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Tendwa: Nilifungiwa CUF kwa saa mbili ofisini nikamriwa nikae kimya!
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s72-c/delux%2Bcoach3.jpg)
TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s640/delux%2Bcoach3.jpg)
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
10 years ago
Michuzi28 Apr
WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/sabas-may10-2013%282%29%281%29.jpg)
kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.
Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhxRh*2Z5Bs8i8eOYIPn3YqSNwT8Kj1FcKgkfRG-N6Y4b-hA-BPyOJNdoAHh434M4e93iL1MHPqGzVmA29vRQqiz/FRONTWIKIENDA1.jpg?width=750)
DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)