Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ: Diamond hakuwa na kibali

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema kuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul maarufu ‘Diamond Platinumz’, aliyetinga na sare za jeshi jukwaani kwenye tamasha la Fiesta, hakuwa na kibali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond: Samahani JWTZ

HATIMAYE msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdallah ‘Diamond Platinumz,’ ameliomba radhi Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kutumia magwanda ya kijeshi hilo bila kuwa na kibali. Diamond...

 

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ

UFUATIA picha zilizoenea katika mitandao ya Kijamii, kuhusiana na msanii huyo kutinga mavazi hayo, hivi sasa Jeshi la Polisi limemfungulia mashitaka msanii huyo kwa tuhuma za kupanda jukwaani akiwa na sare za jeshi.

Katika Onyesho hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, mwishoni mwa wiki iliyopita, pia wasanii kadhaa akiwapo Ney wa Mitego pia walipanda jukwaani na wanenguaji wao wakiwa wametinga mavazi kama hayo aliyotinga Diamond.

Kutokana na tukio hilo, Kamanda wa...

 

10 years ago

Habarileo

Muasisi: Karume hakuwa fisadi

Hayati Abeid Amaan KarumeMUASISI wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya watu 14 walioshiriki mapinduzi hayo mwaka 1964, Hamid Ameir (85) ameeleza siri ya mafanikio ya uongozi wa Hayati Abeid Amaan Karume na kushauri viongozi walio madarakani kuiga mfano wake.

 

9 years ago

Mtanzania

Drake: Serena hakuwa na bahati

DrakeNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki kutoka nchini Canada, Aubrey Graham ‘Drake’, amesema bingwa wa tenisi duniani, Serena Williams, hakuwa na bahati katika hatua ya nusu fainali ya mchezo wa tenisi dhidi ya Roberta Vinci.

Inasemekana kuwa Drake anatoka na mwanadada huyo ambaye ametolewa katika michuano ya wazi ya US nchini Marekani.

“Serena alionyesha uwezo wake lakini hakuwa na bahati katika mchezo huo, wengi tulikuwa na matumaini kwamba anaweza kuingia hatua ya fainali, lakini haikuwa siku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyerere hakuwa mwongo, mdanganyifu au mwoga

KUNA mengi ambayo mtu anaweza kusema kuhusu Nyerere; tena mengi tu ambayo unaweza kumwita na ukajisikia kwa kiasi fulani uko sahihi au ukajionea raha ndani ya moyo wako na utulivu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius hakuwa na miguu yake bandia

Mtaalamu wa mabomu katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, amesema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipomuua Reeva Steenkamp

 

10 years ago

Mwananchi

Mgonjwa wa Moshi hakuwa na ebola-Wizara

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema mgonjwa aliyekuwa akihisiwa kuwa na ebola mkoani Kilimanajro amethibitika kutokuwa na virusi vya ugonjwa huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyerere hakuwa mwongo, mwoga au mdanganyifu — 2

KATIKA makala iliyopita, nilidokeza historia kidogo kuonyesha jinsi gani Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere hakuwa mwongo, mwoga au mdanganyifu kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini. Nilionyesha japo kwa mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani