Drake: Serena hakuwa na bahati
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki kutoka nchini Canada, Aubrey Graham ‘Drake’, amesema bingwa wa tenisi duniani, Serena Williams, hakuwa na bahati katika hatua ya nusu fainali ya mchezo wa tenisi dhidi ya Roberta Vinci.
Inasemekana kuwa Drake anatoka na mwanadada huyo ambaye ametolewa katika michuano ya wazi ya US nchini Marekani.
“Serena alionyesha uwezo wake lakini hakuwa na bahati katika mchezo huo, wengi tulikuwa na matumaini kwamba anaweza kuingia hatua ya fainali, lakini haikuwa siku...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Oct
Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams
10 years ago
Habarileo07 Apr
Muasisi: Karume hakuwa fisadi
MUASISI wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya watu 14 walioshiriki mapinduzi hayo mwaka 1964, Hamid Ameir (85) ameeleza siri ya mafanikio ya uongozi wa Hayati Abeid Amaan Karume na kushauri viongozi walio madarakani kuiga mfano wake.
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
JWTZ: Diamond hakuwa na kibali
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema kuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul maarufu ‘Diamond Platinumz’, aliyetinga na sare za jeshi jukwaani kwenye tamasha la Fiesta, hakuwa na kibali...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Nyerere hakuwa mwongo, mwoga, au mdanganyifu — 3
KATIKA makala iliyopita nilidokeza historia kidogo kuonesha jinsi gani Baba wa Taifa Mwalimu J. K. Nyerere hakuwa mwongo, mwoga au mdanganyifu kama baadhi ya watu wanataka tuamini. Nilionesha japo kwa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Nyerere hakuwa mwongo, mwoga au mdanganyifu — 2
KATIKA makala iliyopita, nilidokeza historia kidogo kuonyesha jinsi gani Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere hakuwa mwongo, mwoga au mdanganyifu kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini. Nilionyesha japo kwa mbali...
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Pistorius hakuwa na miguu yake bandia
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Mgonjwa wa Moshi hakuwa na ebola-Wizara
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Nyerere hakuwa mwongo, mdanganyifu au mwoga
KUNA mengi ambayo mtu anaweza kusema kuhusu Nyerere; tena mengi tu ambayo unaweza kumwita na ukajisikia kwa kiasi fulani uko sahihi au ukajionea raha ndani ya moyo wako na utulivu...
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
Jihad John hakuwa hivi kabla