Mgonjwa wa Moshi hakuwa na ebola-Wizara
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema mgonjwa aliyekuwa akihisiwa kuwa na ebola mkoani Kilimanajro amethibitika kutokuwa na virusi vya ugonjwa huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Ballali hakuwa mgonjwa wakati akienda Marekani
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Mgonjwa mwingine wa Ebola Ujerumani
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
Mgonjwa wa ebola azua taharuki
NA RODRICK MAKUNDI NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
WANANCHI wa Kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro, wamepatwa na taharuki kutokana na taarifa za kuwepo mgonjwa anayedhaniwa kuwa na ebola.
Mgonjwa huyo, ambaye amelazwa katika zahanati iliyoko kwenye kata hiyo, amesababisha huduma kusitishwa na zahanati kufungwa kwa muda huku wagonjwa waliokuwa wakipatiwa matibabu wakihamishiwa katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata.
Habari zaidi zimeeleza kuwa mgonjwa huyo, aliwasili katika Uwanja wa...
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Mgonjwa wa Ebola agundulika Newyork
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Liberia kumshitaki mgonjwa wa Ebola
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Freetown:Mgonjwa wa Ebola afariki
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mgonjwa Ebola abainika Hispania
10 years ago
StarTV24 Oct
Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.
Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...
10 years ago
Vijimambo09 Oct
MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI
Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.
Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...