Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ballali hakuwa mgonjwa wakati akienda Marekani

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Daudi Ballali hakuwa mgonjwa wakati akiondoka kwenda Marekani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgonjwa wa Moshi hakuwa na ebola-Wizara

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema mgonjwa aliyekuwa akihisiwa kuwa na ebola mkoani Kilimanajro amethibitika kutokuwa na virusi vya ugonjwa huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Marekani inathibitisha kifo cha Ballali

Taarifa za Idara za Serikali ya Marekani zinathibitisha kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali alifariki dunia akiwa Washington DC, akiwa na umri wa miaka 66.

 

9 years ago

Bongo5

Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top

12063201_825333404252455_334874297_nCassim Mganga amezungumza kwa kwanza sababu ya kuondoka Tip Top Connection ambapo amemtuhumu Babu Tale kuwa hakuwa kiongozi mzuri kwake. Cassim alikiambia kipindi cha Mkasi kuwa hakufurahishwa na maisha aliyoishi Tip Tip ndio maana aliamua kuondoka. “Toka nimeondoka Tip Top Tale hajawahi kuniletea deal hata moja,” alisema. “Kwenye familia yoyote hakukosi migogoro, mzazi usipokuwa strong […]

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'


Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

 

10 years ago

StarTV

Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

 

10 years ago

Vijimambo

MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas.

Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.

Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.

Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...

 

10 years ago

StarTV

Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Marekani.

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, imethibitishwa katika mji wa Dallas, Texas.

 
Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo.

 
Mgonjwa huyo anasemekana kuwa ni mtu anayeaminika kuambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia kabla ya kuonyesha dalili za ugonjwa huo.

 
Zaidi ya watu 3,000 tayari wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola huko Afrika...

 

10 years ago

GPL

POLISI WAUA MGONJWA WA AKILI DALLAS, MAREKANI

Jason Harrison  aliyeuawa na polisi kwa kupigwa risasi. Harrison akiwa amesimama mlangoni na  bisibisi na polisi (kulia) akimwambia aitupe chini. …Akiondoka mlengoni ambapo polisi walimfyatulia risasi kadhaa.…

 

10 years ago

GPL

MSTUKO: MGONJWA WA KWANZA WA EBOLA AFARI NCHINI MAREKANI!

Eric Thomas Dancun Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa Ebola nchini Mrekani, Eric Thomas Dancun (42), amefariki dunia jioni hii (saa 1:51 kwa Marekani). Dancun alitokea nchini Liberia na kuingia Marekani mwezi uliopita ambako alikwenda kumtembelea ndugu yake, taarifa iliyotolewa na Texas Health Presbyterian Hospital, ambako mgonjwa huyo alikuwa amelazwa, imesema. Dancun anakuwa mgonjwa wa kwanza kufariki dunia nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani