Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI WAUA MGONJWA WA AKILI DALLAS, MAREKANI

Jason Harrison  aliyeuawa na polisi kwa kupigwa risasi. Harrison akiwa amesimama mlangoni na  bisibisi na polisi (kulia) akimwambia aitupe chini. …Akiondoka mlengoni ambapo polisi walimfyatulia risasi kadhaa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi waua raia St Louis nchi Marekani

Vurugu zimetokea katika mji wa Missouri nchini Marekani kufuatia kifo cha kijana mmoja Mmarekani mweusi kupigwa risasi na polisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Mndeme: Mtaalamu wa magonjwa ya akili aliyenusurika kupigwa risasi na mgonjwa ‘aliyemtibu’

Changamoto ni sehemu ya maisha ambayo watu wengi hupitia. Hatua hiyo huweza kumjenga mtu na kumfanya aimarike zaidi maishani.

 

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani

Karibu katika uzinduzi wa Albamu ya injili kesho ktk kanisa la Umoja la Dallas, Texas, Marekani.Mtumishi wa Mungu kaka Morris Swai ambae ni mtoto wa mchungaji Ragate Swai wa Kinondoni Assemblies (TZ)atazindua Albamu yake ya kwanza.Morriss anaishi Houston Texas kwa sasa.Karibuni wote bila kukosa. Ps.Absalom-Umoja Church.

 

11 years ago

Vijimambo

MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas.

Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.

Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.

Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...

 

11 years ago

StarTV

Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

 

11 years ago

StarTV

Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Marekani.

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, imethibitishwa katika mji wa Dallas, Texas.

 
Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo.

 
Mgonjwa huyo anasemekana kuwa ni mtu anayeaminika kuambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia kabla ya kuonyesha dalili za ugonjwa huo.

 
Zaidi ya watu 3,000 tayari wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola huko Afrika...

 

11 years ago

Mwananchi

Ballali hakuwa mgonjwa wakati akienda Marekani

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Daudi Ballali hakuwa mgonjwa wakati akiondoka kwenda Marekani.

 

11 years ago

GPL

MSTUKO: MGONJWA WA KWANZA WA EBOLA AFARI NCHINI MAREKANI!

Eric Thomas Dancun Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa Ebola nchini Mrekani, Eric Thomas Dancun (42), amefariki dunia jioni hii (saa 1:51 kwa Marekani). Dancun alitokea nchini Liberia na kuingia Marekani mwezi uliopita ambako alikwenda kumtembelea ndugu yake, taarifa iliyotolewa na Texas Health Presbyterian Hospital, ambako mgonjwa huyo alikuwa amelazwa, imesema. Dancun anakuwa mgonjwa wa kwanza kufariki dunia nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani