Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgonjwa mwingine wa Ebola Ujerumani

Hospitali moja mjini Frankfurt Ujerumani inamtibu mgonjwa wa Ebola baada ya kufikishwa nchini humo nyakati za usiku chini ya ulinzi mkali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MGONJWA MWINGINE WA CORONA AONGEZEKA, NI DEREVA WA LORI, SASA WAFIKIA 13

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, alipokua akitangaza mgonjwa mpya wa ugonjwa wa Corona nchini. Kulia ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid.Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hamad Rashid akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo katika mkutano wa pamoja na Waziri Ummy kuhusiana na idadi mpya ya wagonjwa wa Corona.
Charles James, Globu ya JamiiIDADI ya wagonjwa wenye...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mgonjwa wa ebola azua taharuki


NA RODRICK MAKUNDI NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
WANANCHI wa Kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi,  Kilimanjaro, wamepatwa na taharuki kutokana na taarifa za kuwepo  mgonjwa anayedhaniwa kuwa na ebola.
Mgonjwa huyo, ambaye amelazwa katika zahanati iliyoko kwenye kata hiyo, amesababisha huduma kusitishwa na zahanati kufungwa kwa muda huku wagonjwa waliokuwa wakipatiwa matibabu wakihamishiwa katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata.
Habari zaidi zimeeleza kuwa mgonjwa huyo, aliwasili katika Uwanja wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liberia kumshitaki mgonjwa wa Ebola

Maafisa wa utwaala nchini Liberia, wanasema kuwa watamshitaki mwanamume aliyepatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani wakimtuhumu kuwa alitoa taarifa za uongo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Uchunguzi unaendelea nchini Hispania ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Ebola baada ya mgonjwa wa kwanza kubainika.

 

10 years ago

StarTV

Mgonjwa wa Ebola agundulika Marekani.

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali ya ya mjini Newyork.
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

 

11 years ago

BBCSwahili

Freetown:Mgonjwa wa Ebola afariki

Maafisa wa afya nchini Sierra leone wamethibitisha kwamba mgonjwa mmoja wa Ebola aliyetoroka hospitalini mjini Freetown amefariki.

 

10 years ago

Vijimambo

MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas.

Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.

Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.

Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa wa Ebola agundulika Newyork

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa wa Ebola asakwa Sierra Leone

Mamlaka nchini Sierra Leone inataka usaidizi kutoka kwa raia wake ili kumsaka mgonjwa mmoja wa Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani