Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND:NIMESHINDA TUZO MBILI LAKINI NIMEPEWA MOJA

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz aliwasili hivi karibuni na kupokelewa na maelfu ya mashabiki wake kwenye uwanja wa ndege baada ya kushinda na tuzo moja ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki(AFRIMMA) tofauti na awali ilivyoripotiwa kuwa ameshinda tuzo mbili. Diamond aliongea na waandishi wa habari waliofika kimpokea na kusema...“Kwenye jukwa la AFRIMMA Alitangazwa kushinda tuzo mbili ambazo ni Msanii Bora Wa Kiume Afrika Mashariki Na Wimbo Bora Wa Kushirikiana ambao ni Number One Ft...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi. Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto). MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND 2. KIKUNDI…

 

10 years ago

Bongo5

AY amtabiria Diamond kuchukua tuzo mbili za #CHOAMVA14

Macho, masikio na fikira za mashabiki wengi wa muziki wa Tanzania leo yameelekezwa nchini Afrika Kusini kwenye tuzo zo CHOAMVA. Pamoja na timu yake, awamu hii Diamond amesafiri na mama yake pia Diamond Platnumz anawania vipengele vinne. Mshindi wa zamani wa tuzo hizo, AY ametabiri kuwa Diamond anaweza kuibuka na tuzo mbili. “Kila la kheri […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani

Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani. Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer’. “Alhamdulilah… ndugu […]

 

11 years ago

Habarileo

CCM-Tunataka serikali mbili lakini hatulazimishi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza msimamo wake kuhusu muundo wa Muungano ni serikali mbili, lakini ikiwa wananchi wataamua vinginevyo katika mchakato unaoendelea, wataheshimu uamuzi. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo aliwaambia waandishi wa habari kuwa, CCM inaendelea kuamini katika Muungano wa Serikali mbili na itasimamia hilo ingawa haimlazimishi mtu, taasisi wala chama chochote kuamini katika msimamo huo.

 

9 years ago

Bongo5

Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja. Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI

KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili. Soma zaidi hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani