Diana Kimari Akiri Kuanza Mapenzi ‘Utotoni’!
CONFESSION! Msanii wa filamu Bongo, Diana Kimari ameanika ukweli wa moyoni kuwa, alianza kujihusisha na mambo ya mapenzi akiwa anasoma shule ya msingi.
Akipiga stori na Amani, Diana alisema alianza kuwa na uhusiano wa kimapenzi akiwa darasa la saba na hii ni baada ya kuingia kwenye utu uzima ‘kuvunja ungo’ kitu ambacho huona kwamba zile zilikuwa akili za kitoto na kwamba hakukuwa na ‘ladha ya mapenzi’ hivyo huwa hataki kukumbuka kabisa nyakati hizo.
“Ni kweli mimi si mgeni wa mapenzi,...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DIANA KIMARI AKIRI KUANZA MAPENZI ‘UTOTONI’!
10 years ago
GPL
RAYUU AKIRI KUKOSA MVUTO WA MAPENZI
10 years ago
GPLFARHIA MIDDLE AKIRI KULIZWA NA MAPENZI
5 years ago
CCM Blog16 May
MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA

10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
10 years ago
GPL
DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Diana ndiye Miss Tanga 2014
MREMBO Diana Theojackson amenyakua taji ya Nice &Lovely Miss Tanga 2014 na kuzawadiwa gari aina ya Toyota Vitz lenye thamani ya sh milioni kumi. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na...
11 years ago
GPL
DIANA KIMARO AVAMIA SHISHA ZA WATEJA
10 years ago
Vijimambo
USIKU WA ESTER DIANA NANA, ALIVYOMEREMETA



