Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAYUU AKIRI KUKOSA MVUTO WA MAPENZI

Stori: Laurent Samatta MCHEZA filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’, amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa. Mcheza filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’. Rayuu alitoa siri hiyo iliyo ndani ya mtima wake, baada ya kuwekwa kati na paparazi wetu ambaye alitaka kujua sababu kubwa inayomfanya kubadilisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FARHIA MIDDLE AKIRI KULIZWA NA MAPENZI

Mtangazaji wa ITV / Radio One, Farhia Middle. Brighton Masalu
MTANGAZAJI wa ITV / Radio One, Farhia Middle amesema tangu aujue ulimwengu wa mapenzi hajawahi kukutana na mwanaume mwaminifu na kwamba kila mara amekuwa akilizwa na mapenzi jambo ambalo husababisha kujiona mwenye mkosi. Akipiga stori na gazeti hili hivi karibuni, mtangazaji huyo alisema licha ya baadhi ya watu kumsifia kuwa ni mrembo kwa sura na umbo, lakini amekuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Diana Kimari Akiri Kuanza Mapenzi ‘Utotoni’!

CONFESSION! Msanii wa filamu Bongo, Diana Kimari ameanika ukweli wa moyoni kuwa, alianza kujihusisha na mambo ya mapenzi akiwa anasoma shule ya msingi.

Akipiga stori na Amani, Diana alisema alianza kuwa na uhusiano wa kimapenzi akiwa darasa la saba na hii ni baada ya kuingia kwenye utu uzima ‘kuvunja ungo’ kitu ambacho huona kwamba zile zilikuwa akili za kitoto na kwamba hakukuwa na ‘ladha ya mapenzi’ hivyo huwa hataki kukumbuka kabisa nyakati hizo.

“Ni kweli mimi si mgeni wa mapenzi,...

 

10 years ago

GPL

DIANA KIMARI AKIRI KUANZA MAPENZI ‘UTOTONI’!

Brighton Masalu  CONFESSION! Msanii wa filamu Bongo, Diana Kimari ameanika ukweli wa moyoni kuwa, alianza kujihusisha na mambo ya mapenzi akiwa anasoma shule ya msingi. Akipiga stori na Amani, Diana alisema alianza kuwa na uhusiano wa kimapenzi akiwa darasa la saba na hii ni baada ya kuingia kwenye utu uzima ‘kuvunja ungo’ kitu ambacho huona kwamba zile zilikuwa akili za kitoto na kwamba hakukuwa na ‘ladha...

 

10 years ago

Vijimambo

Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari

By Shaban Lupimo, Mwananchi
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.

Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.

Hata hivyo, hali...

 

10 years ago

GPL

RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU

Mayasa mariwata SMATAA wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ pamoja na Skyner Ally ‘Skaina’ wanadaiwa kufanya uchafu baada ya picha za wawili hao wakionesha mahaba hadharani kusambaa. Staa wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Chanzo kinaanika kuwa wawili hao hivi karibuni walikutana katika Ukumbi wa KD, Kijitonyama ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa kwa Rayuu huku wakionesha mahaba ya mtu na mpenzi wake ndipo...

 

11 years ago

GPL

RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. Rahma Bagenzi ‘Rayuu’. Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na...

 

10 years ago

Mtanzania

Rayuu wa mitandaoni na nyumbani ni tofauti!

8977c613656d96073d7015b7676fe2b1NA CHRISTOPHER MSEKENA

MAKUBWA! Mrembo anayetikisa kiwanda cha filamu nchini, Rahma Rayuu ‘Rayuu’ amesema maisha yake halisi na maisha anayoonyesha kwenye mitandao ya kijamii ni tofauti hivyo watu wanaodhani ndivyo alivyo wanakosea.

Akichonga na Swaggaz, Rayuu alisema kuwa amezoea kuweka mitandaoni picha zinazoonyesha mwili wake lakini kiuhalisia ni mtu mwenye maadili ambaye akiwa nyumbani huvalia hadi ushungi kujisitiri.

“Kwetu ni familia ya dini na nimekuwa kwenye mazingira hayo, kule...

 

10 years ago

GPL

RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE

Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amezua gumzo baada ya picha zake zinazomuonesha akiwa chumbani na mwanaume kuenea mtandaoni, huku kijana huyo akionekana kujichora tatoo yenye jina la mwanadada huyo. Kijana huyo aliyefahamika kwa jina moja la Brown hakuweza kupatikana ili kuthibitisha uhusiano wake na mrembo huyo,...

 

10 years ago

GPL

RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI


Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. MAYASA MARIWATA NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu. Akipiga stori na gazeti hili, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani